Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Hawa Pepsi kwenye pepsi big wameharibu kinywaji husasani flavour, hata kwenye "recipe' yake kuna sehemu walikosea ingredients zake inabidi warudi maabara kwakweli. Lakini kingine labda kwa sasa wanazalisha stock ya mwisho wa mwaka ndiyo maana kwa sasa munaona zimepungua.