Inakuwaje unafanya uovu kwa makusudi kabisa ya mwananchi au kiongozi unambambikia kesi za uongo unamweka gelezani kwa muda mrefu. Unafikiria hata mpaka uamuzi wa kumtoa Binadamu uhai wake wa kuishi hapa duniani. Ili umfurahishe kiongozi au boss wako ili akuteue wewe uliyefanya mauaji hayo. Akupatie ajira ya kazi, akupandishe cheo ama promotion ya kazi.
Nini maoni yako tuwatambue watu au viongozi waliofanya mabaya ukatili ama hata mauaji kwa wananchi. Ili wa waweze kupanda vyeo ama ajira Nchini?
Nini maoni yako tuwatambue watu au viongozi waliofanya mabaya ukatili ama hata mauaji kwa wananchi. Ili wa waweze kupanda vyeo ama ajira Nchini?