Pepo la ngono lina jinsia mbili

Aisee. Hizo si nguvu za binadamu wa kawaida. Ss hapo hilo pepo linapataje chakula ikiwa yeye ni mwanaume?
 
Uongo mtupu !!! Hamna pepo la ngono zile ni tabia mbaya za mtu binafs kuendekeza ngono
 
hatare fire, tukomae kwa kujikabidhi kwa MOLA na kuwakabidhi kizazi chetu maana naona hali imetaradadiiii pepo la ngono limeshika kasi balaaaaaaaaaaaaa....
 
Naomba msaada wa maelekezo zaidi napata ugumu kuelewa maana vishawishi ni vingi mnoo

Unajua kuna stage unatamani kutumbukiza kila shimo na kamwe huwazii madhara yake...majuto huja baada ya kumaliza..ukijifunza kuridhika na ulichonacho utajiepusha na mengi mno...najua ilivyo ngumu lakini ukiweka nia hakuna kinachoshindikana...lakini hakikisha nia yako ni hakika na ni thabiti
 
Shukran. Somo zuri sana wengi watajifunza; Wale wa kula kimasihara tupunguzee
 

Hili pepo la ngono kama vile ninalo hivi ? 🥲🥲. Nafanyaje kulitoa ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…