Sasa si aende hospital ctc clinic huko atahudumiwaMembers, kuna emergency imetokea mdau wangu anahitaji PEP kuna mahala kaharibu kazi. Yuko tabora mjini. Anazipata wapi au kama kuna yoyote anaweza msaidia kupata huu msaada. 4 hours tangu tukio litokee.
Ndio, lakini Mwendazake alizipora na kubaka uchaguziUlipiga kura 2020?
Hapana asubiri asubuhi aende hospital ctc aelezee shida atasaidiwa huko PEP inatakiwa kuanza up to 3 days (72hours) after exposure.Usiku huu ataweza pata huduma?
Nduli Idd Amin Dadaa alishawahi kusahaulika kwenye historia ya vita vya Kagera? Kwanini tufanye ubaguzi huyu asemwe na yule aachwe tu apumzike?Achana nae kasha pumzika kwa amani, haya msaada?
Huduma ni 24, hours nenda kahonge kidogo upateUsiku huu anapata huduma?
Aende zahanati au kituo cha afya kilicho jirani nae. Ila atapima kwanza asijesingizia mdada wa watu kumbe ngoma alikuwa nayo since day one.Members, kuna emergency imetokea mdau wangu anahitaji PEP kuna mahala kaharibu kazi. Yuko tabora mjini. Anazipata wapi au kama kuna yoyote anaweza msaidia kupata huu msaada. 4 hours tangu tukio litokee.
Mayai ya kienyeji.Unaandika ukiwa umeshiba chai au uji?