Pep Guardiola ndio Kocha Bora kwa sasa Duniani

We Pimbi fatilia uwepo wa Porto FC miaka ya 2002 ikiwa inacheza fainali za UEFA CHAMPIONS LEAGUE na Man Utd ilikuwa ina Wachezaji gani kiubora na hata malipo ya mishahara yao kisha urudi kunishukuru kukupatia maarifa usiyoyajua ila unakaza tu fuvu lako sababu ya mahaba niue kwa Kiparangoto wako huyo
Wewe ni team gani Kwanza kama ni Manchester United tunajua ni team ya mashabiki wasiojua mpira
 
chelsea ana bench la shi ngap?
Tofauti na Chelsea wachezaji wengi hawajapitia hata pre season na kucheza pamoja na team imepitia mabadiliko katikati, ipitie Chelsea ya nyuma hapa ilikuwa vipi. Guardiola mpe Man U ile ya kina Maguire na hawa Glazers halafu utanambia. Ila all in all, jamaa anajua sana
 
Mlilazimishwa kununua magwaya?
 
Hebu kua serious Basi
Ndo hivyo mkuu wamemnyima Pep tuzo ya kocha bora wa mwezi msimu wote huu jionee mwenyewe hapo

Screenshot_20230522-121943_Chrome.jpg
 
City ilikuwa na ukubwa upi wa kuinyanyasa Madrid? Wakati wapo kina Mancini na pelegrin?

Pep katengeneza system
Pep kaichukua City chini ya Kocha Pellegrin akiwa kabeba EPL na kaingia nusu fainali za UEFA CHAMPIONS LEAGUE akina Aguero wakiwa wa .
 
Budget ya clubs anazofundisha huwa unaipitia? Ji kweli ni kocha bora sana, ila nae anakuwa na budget kubwa sana. Hata jana Mourinho alisema, una bench lenye 200m, wakati huo upo na quality ya hali ya juu ndani ya uwanja. Huwezi kulinganisha na hawa wanaopewa limited budget.
psg je mbona hawafanikiwi?
 
Back
Top Bottom