The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,281
- 117,176
Wale waliongalia na kufuatilia jana Bayern Munich walichoifanya
Juventus......je tunaweza kusema Pep ni kweli the best coach in the world?
jana nilifuatilia mitandao wakati Juve ana lead 2-0...
habari ilikuwa Pep sio lolote
alibebwa Barca na Messi...hanaga plan B...
anaondoka kwa aibu kubwa Bayern....
na maneno yalikuwa mengi sana
sasa alichokifanya wote tumekiona
je ni kweli hakuna kama Pep?
Binafsi naiona Barca ya Enrique ni better kuliko ya Pep....
lakini wanaomkubali Pep wanasema hata Barca ya sasa yeye ndo
'creator'....
sasa tunarudi kule kule..je Pep ndo best coach in the world?