Pep Guardiola: Dhana ya elimu na akili ya kurithi

Pep Guardiola: Dhana ya elimu na akili ya kurithi

Ni kweli kabisa.

Barcelona inamhitaji pep ili kurudisha falsafa ya tik taka. Na ndio namna pekeee ya kuifanya ifanikiwe katika hiki kipindi ambacho mess anaenda mwisho
Yaa Pep ni bonge la mwalimu ndy maana Laporte ameamua kutumia jina lake kwenye kampeni za kuutaka urais wa Barcelona kawaahidi wakimchagua atamrudisha Pep Camp Nou

Sent using Jamii Forums mobile app

komesha korona
 
Ni kweli kabisa.

Barcelona inamhitaji pep ili kurudisha falsafa ya tik taka. Na ndio namna pekeee ya kuifanya ifanikiwe katika hiki kipindi ambacho mess anaenda mwisho

komesha korona
Lkn pia kuna wachezaji wengi ni mzigo kwenye timu ndy maana sikuona ajabu klabu kutangaza kuwaacha wachezaji tisa msimu ukiisha wakiwemo Suarez,Samwel Umtiti,Coutinyo na wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeangalia muda ambao hao uliowataja walivyokaa kabla ya kuchukua UEFA kwa timu tofauti? umefanya hitimisho kwa Pep utadhani amekwambia anastaafu kufundisha mpira kesho.
Uchambuzi wako umekosa ushahidi wa kusema Pep ameshindwa; vp unasemaje kuhusu Sir Alex nae ni kocha aliekariri au?
 
Back
Top Bottom