wewe kweli ni ng'ombe ulaya..unashindwa kuelewa japo post ndogo tu kama hii mistari kadhaa tu, sijui ulifaulu vp maradasa uliyosoma..ngoj anikueleweshe, post hii ilikua na lengo la kuuliza wana CDM kua mbona kasi ya maendeleo binafsi ya viongozi wao haiendani na ukuaji wa wananchi wanaowawakilisha?? nadhani umenielewa..haya sasa changia ukiwa umenielewa