huna jambo la maana kujadili wewe. kwanza hao akina Okwi@Boban@sunzu wote hawapo msimbazi siku hizi
Na je tafsiri ya CCM INAWENYEWE? Maccm haki ya Mungu sijui kama mnaakili za wanadamu hai,nahisi mnaakili za MaiSlogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...
"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...
Maana:
Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....
Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..
SO:
Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"
Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....
Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...
nimejaribu sana kujiuliza hao people ni kina nani, lakini sasa sipati tabu tena, hao people wanaonekana kwa vitendo vyao...
Slogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...
"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...
Maana:
Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....
Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..
SO:
Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"
Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....
Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...
Tuliiambia miccm mwaka 2011 kwamba pumziko la kamanda Lema litapambana kupigana vita vinavyo pumbaza akili za wanadamu,kazi ilifanyka barabara,ukomavu wa fikra kwa watanzania umeongezeka,Liberation is coming tommorrow.Wakati mwigulu nchemba akitumia pesa za wauza unga(wafadhiri wa ccm) eti kufungua matawi marekani na uk,imebainika kuwa matawi ya ccm tz mengi yamebakiza wafuta vumbi maofisini sababu wanachama wengi wamekihama chama hicho.ccm inawapumbaza wanaccm wao kwa kisingizio cha kufungua matawi kumbe ni kutokana na ziara za viongozi wa chadema ambazo zinazaa matunda kwa kupata wahisani wengi tu.
Chadema dr slaa yuko marekani akizungukia taasisi muhimu sana za kukitangaza chama na kuzidi kupata wahisani toka usa.mbowe alikuwa denmark moja ya wafadhiri wakubwa wa chama hcho.
Amani golungwa alikuwa uk kwa mualiko wa conservative amabao wamehaidi kukichangia chama hicho takribani pound 1.2million na wiliam hague amevutiwa na sera za chama hicho. Kuonesha chadema ikiingia madarakani tz itarudisha uhusiano wa makampuni kama landrover,massey fugurson na makampuni mengi ya ujenzi.
Ccm na mwigulu wao ni kuwapikia chapati na pilau wale watanzania wanaotegemea benefit kutoka uk ili wawepo kwenye vikao vyao.
kweli wewe ni stroke.
mkuu, kwani wewe hawa jamaa hujawashrukia tu? hawa wanatuhadaa tu wananchi. hawawezi kututumia tu kama mipira ya uzazi.
Yale yale ya hoja dhaifu za kuzungumzia vitu ambavyo havina hata manufaa kwa taifa. Sasa hapa unataka kumaanisha nini mkuu? Au unataka kuaminisha uma kuwa safari za viongozi wetu wa CCM huwa wanatubeba na sisi wanachama wao? Sidhani kama kila mwanachama wa chama fulani basi na yeye natakiwa aende kila sehemu wanazosafiri viongozi wa chama. Jamani tuacheni ushabiki wa vyama na tuizungumzie nchi yetu Tanzania tutaikwamua vipi hapa ilipofikia.
mkuu, people ni wale wenye haki uwezo wa kujikopesha fedha za ruzuku kwa kiwango wanajiamua wao
Slogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...
"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...
Maana:
Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....
Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..
SO:
Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"
Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....
Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...
Slogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...
"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...
Maana:
Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....
Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..
SO:
Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"
Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....
Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...
Slogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...
"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...
Maana:
Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....
Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..
SO:
Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"
Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....
Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...
Mkuu umejiona vile ulivyo na hoja za kitoto sana. Kweli kua uyaone, nashuhudia watu wakubwa lakini wana mawazo ya kitoto.
Kula na vipofu kunahitaji taiming, mmpigwa changa la macho na mnaowaita wakombozi, wanajineemesha wenyewe mnabakia kutukana tu...nyie endeleeni kutukana wenzenu wanaingiza siku na matrip kila kukicha...Huna uwezo wa kututoa kwenye kujadili mambo ya msingi. muokota makopo
Slogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...
"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...
Maana:
Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....
Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..
SO:
Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"
Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....
Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...
Duuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhh,kweli hauna akili,kwahiyo unataka siku viongozi wa CHADEMA wakiwa ziarani nje ya nchi waende na raia wote? You must think like a grown man,siyo unakuwa na fikra fupi kama za kichanga,shame upon uSlogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...
"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...
Maana:
Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....
Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..
SO:
Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"
Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....
Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...
wewe kweli ni ng'ombe ulaya..unashindwa kuelewa japo post ndogo tu kama hii mistari kadhaa tu, sijui ulifaulu vp maradasa uliyosoma..ngoj anikueleweshe, post hii ilikua na lengo la kuuliza wana CDM kua mbona kasi ya maendeleo binafsi ya viongozi wao haiendani na ukuaji wa wananchi wanaowawakilisha?? nadhani umenielewa..haya sasa changia ukiwa umenielewaDuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhh,kweli hauna akili,kwahiyo unataka siku viongozi wa CHADEMA wakiwa ziarani nje ya nchi waende na raia wote? You must think like a grown man,siyo unakuwa na fikra fupi kama za kichanga,shame upon u
Rudi shule,au nenda fb,usi dhalilishe JF kwa kupost utumbo wako humuJoin Date : 16th December 2012
Posts : 130
Rep Power : 369
Likes Received27
Likes Given122
mda mwingi unautumia kuangalia pono na fb..karibu JF