Sheria hizi zilikuja ili kupinga ile kauli ya kimaono iliyosema kila mtu atakula anaposhinda . Sasa wewe fikilia ni muuza duka labda hujaoa unafikiri huyo mpenzi utampatia wapi jaman wenyewe fikirieni ??
Nilienda shule fulani katika kijiji fulani ndani ndani mwaTz siitaji jina . Nilikuta asilimia 70 ya walimu vijana pale wameoa waliowahi kuwa wanafunzi wao . Nikasema tu hiiii !!!