Siku zote silaha kuu ya mkandamizaji ni ujinga wa mkandamizwaji,na hii ndio sababu hawa jamaa wanahakikisha wananchi hawaelimiki na mbaya zaidi wamewafunga macho kwa shule zao za kata ili wawadanganye vizuri lakini siku mwananchi atakapoelimika nadhani patakuwa hapakaliki.