herbsman
Member
- Apr 29, 2011
- 81
- 57
Mwanaume mwenye pesa hana mapenzi ya dhati na sio mbunifu wa mapenzi ana uwezo wa kuwa na mwanamke yeyote yule na kuwa na idadi kubwa ya wanawake lakini hakuna anayemtosheleza kwa mapenzi na mwanaume asiye na pesa ni mtundu wa mapenzi mwenye kumpa mwanamke hitaji la moyo na mwili ila hawezi kukidhi mahitaji ya lazima ya mwanamke sasa kipi bora ?