Penzi la muuza uji

Penzi la muuza uji

Aisee! Mkuu umenikumbusha mbali sana,1995, nilipopata penzi la mfanyakazi wa mama ntilie pale Tazara karibu na kivulini enzi hizo.
 
mkuu ckutaka ujitambulishe jina lako halisi
Ni ww uliye andika Uzi huo ....na nikwann mod wamefuta Uzi wako. Unacho type apa kinausihana VIP na tabia yako harisi ???? Je unacho jadili apa ni kitu Gani ??? Rudi nyuma type yako ya kwanza kisha Angalia nilikujibu nn ... Bahada ya kukujibu ww ulitype nn ...kisha njoo tena uniambie unacho taka ni nn kwenye Uzi hu
 
Hii stori hujaimalizia. Maana kuna jamaa yangu anaitwa Ali Mabolo alikuwa analalamika eti muuza uji ana bonge ya bwawa la samaki. Au wewe hukuliona ulipofika kwake?
 
Back
Top Bottom