Penzi la Mtoto wa kizungu!

Oooh maskini . Ungejua wazungu hata kuoga hawaogi usingesema haya madudu .
bora umemuambia mana hajui hata kuswaki hawafanyi ivo............hakuna wanadamu wachafu kama hawa
 
Data utachapwa wewe!! I want to offer you nini? lol.... Mwangalie kule... Hapo nilikua nakupa darasa usijudge sina maarifa wa ujuzi... Only my man is entitled to that...
Hapo ndo shida ilipo, mlete basi atuhakikishie?lol!
 
I second this...
 

Your post is fraught with assumptions and stereotypes!
 
Mm niko na mzungu wangu anavolunteer bongo kutoka East virginia wako straight sana,kama hajaridhika hatoki .
 
watoto wa kizungu tasteless while wa kibongo dah........ ladha mule mule yan!
 
wathunguu wamepoaaa wabariiii...wakibongo wanajotooo
wathunguu hawavutiii hata wakikaauchii....wabongo full mvutoo ukionaaa nyumaa ya gotii tu
 
Amaa kweli we ndo TYPHOD.Unaonaje ukibakia uko uko kwa hao wadhungu wako wanao tambua hisia zako
 
Kama wewe ni Mtanzania kuanzia leo naukana utanzani wangu.Haya ni mambo ya hovyo sana.Umekosa vitu consructive vya kuwaza?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…