Penzi la Mtoto wa kizungu!

Data utachapwa wewe!! I want to offer you nini? lol.... Mwangalie kule... Hapo nilikua nakupa darasa usijudge sina maarifa wa ujuzi... Only my man is entitled to that...

lovely...!
 
Mzee wa Pittsburgh USA unazungumzia hawa hawa waMarekani au wazungu wa Australia! hahahahahahhahaaaaa vipi umeivisha msosi au unapitia fast food ununue junk food!!!!!! Kuwalinganisha wazungu wa kike na dada zetu wa Bongo hii ni dharau kubwa ambayo haitavumilika kabisa mkuu na inabidi uombe msamaha, au kama ulitaka uma ujue kuwa umetembea na mzungu hiyo ni sawa ujumbe umefika, maana wanaume wengine kama .
 
Mkuu usi-generalise,hao wadada wa kibongo wasio fanya hayo labda ni wale wa miaka hiyo,labda kina ...WE NIANGUSAGE TU BE MAANA HATA CHUPI.....Maana hata hao wazungu wengine kutokana na baridi hata kuoga hawaogi,am talking through experience,have been there and done it and not only one side of the Pond,across as well.
Wewe umeshavalishwa condom na mdomo kweli..........hivyo ndivyo dada zetu wa bongo they are capable of.
 
maneno ya mkosaj tu...hujakutana na mdundo jomba! we unakutana na milio ya debe tu ndo mana hujui
 
Kuna ukweli kwa baadhi yao, du ukiwaona wanavyo vaa kwa unadhifu na kutega pamoja na pozi lakini kitandani hawajitumi kabisa
 
Hebu tuweni wakweli jamani akina dada baadhi yenu mnaboa kitandani. Mtu uko unakula mzigo mara ooh fanya fasta niwahi home dingi mkali, ooh nikachote maji, ooh unajua nimechelewa kuja....nk.
 
Mtoto wa kizungu yupi? wa Estonia, Scandinavia, Jerry-Springer type trailor trash wa Detroit, boonies wa milima ya West Virginia, Beverly Hills fund baby, Venetian socialite or russian mail order bride?

As much as Africa is not a nation, muzungu is not a nationality. And even if it were, the simplification of types ascribed to nationalities is only due to the poverty of our imagination and ignorance of our minds.
 
good night mkuu,
 
wewe una matatizo..
Watoto wa Kibongo uliokutana nao wanamatatizo.
Na huyo Mzungu wako anamatatizo pia.. Nawapa pole wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom