Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 339
- 756
Aisee, Ngoja nipumue kidogo mwaka jana mwezi wa sita nilitongoza mdada kitaa, akanikubalia tukawa wapenzi.
Sasa huyo dada hakuniambia kwamba ni Trafiki nilikuja kugundua nilivyopita Ubungo Mataa na kumuona.
Sasa kuna siku mwezi wa 11 mwaka jana nikavusha mdada ghetto akatufumania, nilionba msamaha sana akasema tuachane tu hawezi haya mambo, tukaachana nikajua yameisha kumbe.
Sasa siku napita pale Ubungo mataa naona nasimamishwa na trafiki naanza kukaguliwa naambiwa fire extinguisher na bima ni kweli nilikuwa sina nikalipishwa, wiki nzima faini zilifika kama laki tatu kila siku kosa kumbe yule Dada trafiki kawapa no ya gari yangu wakawa wananishambulia sana faini ilifika laki 6 pale Disemba nikaamua kupaki gari tu ndani.
Nimemuomba msamaha ila kasema kanisamehe ila anashambulia sana.