Aya jeruman kashinda,anzeni mechi ya kirafiki na "reality"msisahau kutuhabarisha
Kadi nilikuwa nayo ya freemasons ilitabiri german atashinda since 1995 ,bby is just a game tufanye yetu
aaaaaah bby duniani bila kuipekua ni sawa nabure ,elimu kwangu mwanga
Nakupenda sana mamantilie kwa kunijali na kunithamini ,unanipa chakula na penzi motomoto nafurahi sana nikiwa kwenye mgahawa wako ukihudumia huku unatabasamu ukiniangalia ,napenda umbo lako very easy to handle tukiwa faragha i really love you.
Dear mamantillie hapa ni wazushi, hawafiki level zako, kwanza ombaomba kinyama hawana hata aibu wanataka kuhongwa na bado penzi stress,mamantillie we ni wangu for life mwah.