Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 281
- 627
Baadae asije omba msaada hapa wa madawaMmepima damu?
Kabisa ndio maana nimemkumbusha huenda kajisahauBaadae asije omba msaada hapa wa madawa
Kwani kuna mtu kakwambia kumiliki hiyo nyara ni haramu?Amenizidi kiumri na miaka kumi na tatu.lakini kwake napata furaha ya moyo.yy saiv ni demu wangu ninayevimba naye kitaa.anabonge la kebo ana shepu balaa.
Msaidie 🤪😹😹sa tufanyeje ssi kama wana jukwaa
Usisahau mkongo ili ikusaidie kuweka CV vzr, mshangazi anahitaji boosterAmenizidi kiumri na miaka kumi na tatu.lakini kwake napata furaha ya moyo.yy saiv ni demu wangu ninayevimba naye kitaa.anabonge la kebo ana shepu balaa.
Hapana, huyo jamaa rolimodo wake ndo Mimi 😅secretarybird Supapawa hv h n I'd yako?