yaap minaami hivyo coz mpz wakwanza ndo anakuwa kilakitu kama mwongozo wako.endapo atakusaliti utabaki unaamin kwamba jinsia hiyo wote ni wasaliti.na kama atakupenda kwa dhat kisha wewe ndo ukasababisha mtengane kila mpz mpya utakaye mpata utabaki kusema hakuna kama yule.akikukosea kidogo utaxema mbona yule hakuwa hivi...mtazamo tu..

Mie kwangu ni vice versa,wa kwanza nilimpenda sana huwa namsahau,ila wa pili mpaka ndiyo simsahau kabisa,tunapigianaje simu sasa?lols ten yrs imeshapita,HATUJASAULIANA,!!!!