Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Wakuu naomba kuuliza penzi jipya huwa lina expire baada ya muda gani?yaani yale mapenzi moto moto,maana nina mpenzi tupo mwaka wa pili sasa lkn tunapendana kama vile tumekutana jana!tunaonana sana,tunachati sana na tunatoka sana siku za weekend kumaanisha kwamba ingekuwa ni rahisi kuchokana !
Au sangoma kahusika hapa!!?
Unatak li expire sio subir mkuu oooh na majivuno ulioanza hum jf nakwambia naenda mwambia mwajuma huk anasema ww mbaya hujui kumhendo mapem san ngoja nieend na log offWakuu naomba kuuliza penzi jipya huwa lina expire baada ya muda gani?yaani yale mapenzi moto moto,maana nina mpenzi tupo mwaka wa pili sasa lkn tunapendana kama vile tumekutana jana!tunaonana sana,tunachati sana na tunatoka sana siku za weekend kumaanisha kwamba ingekuwa ni rahisi kuchokana !
Au sangoma kahusika hapa!!?
Haliwezi ku expire kama kila weekend anatumbua hela zako!
Mkipendana penzi haliwezi expire n'gooo....ukiona watu wamechokana baada ya kulana Hamna penzi hapo zaidi ya matamanio tu.
Kwahiyo umekuja kuuliza huku ili tuwatenganishe au..?
Litaisha siku akimaliza hela zako.
Unatak li expire sio subir mkuu oooh na majivuno ulioanza hum jf nakwambia naenda mwambia mwajuma huk anasema ww mbaya hujui kumhendo mapem san ngoja nieend na log off
Huku kwetu penzi jipya linaisha siku ukipewa mbunye/papuchi/kitumbua/kibubu.
Wapi nimesema lazima?Kwani pesa ni lazima ziishe mkuu!?
Wapi nimesema lazima?
...pale utakapofulia