Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,982
Safi maisha ya hivyo nayamiss sana
Kistory kitamu
Oaneni kabisa sasa muijaze dunia
Jiongeze Mkuu si ajabu ndiyo ushajipatia mke mtarajiwa. Kama ana tabia nzuri na muelewa usilaze damu Mkuu. Mungu kakuletea mke kupitia gizani na luku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu hizi luku zina mambo mengi
Ilishatokea kwangu pia...2005 Kinondoni. Ila mimi nilimtoa out jirani yangu. Simple like...vipi twende out basi leo..siyo unakaa kaaa hapa home tu...kweli kaka iMind...basi ngojea nijiandae. Disko huko nikawa najipimia oil tu kama ninavyotaka..tukarudi tukalaa pamoja...ndo ikawa mwanzo. Ila alikuwa na boyfriend wake design...akasema hawezi kumuacha...so tukawa tunaendelea kisela. Akaolewa kaondoka...mara moja moja huwa tunakumbushia hadi leo. At least twice a year.
Hahahahahhahaha nimejikuta nacheka mwenyewe looh.
That's so funny, kuna muda huwa nawaza kama hiyo hadithi yako....
Nyie sio wapenzi bali ni friends with benefit. Na mtadumu sana kama hamtaanza kufatiliana ulikuwa wapi mbona hukupokea simu mbona hujapatikana siku nzima..... Life is more than have a person as a territory....
Ila nyege mbaya sana aahahahahahhaaaa saa nane usiku unagonga mlango wa mtu kuomba namba ya simu aaahahahahhahahahahaaaaa keimaaakaaakeeee waalaaah hadi nimemuonea gele aahahahahahaaa
Amenikumbusha ofisini kwetu tukiwa na safari ya kikazi halafu wote tunakaa hoteli moja ila kila mtu na chumba chake huwa tunaambiana, jamani ukigongewa usiku kuazimwa charge au kitana au pasi muwe mnafungua mlango (hasa wanaume Ndo huwa wanatutania wanawake, msiwe wachoyo tunaanzima tuu....)
Utasikia jamani charge yangu imeisha nakuja kuazima charge.... Saa nane usiku aahahahahahahahhahahahaaaa
Have fun and enjoy the relationship while it last.
Uwe unatupa updates Mkuu. Siku hizi unaamka mwepesiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ugwadu haukupi shida tena raha tele Mkuu. Usimkorofishe huyo mrembo kama anakula ugali hata usiku basi hana makuu huyo, ila cheki kama hayumo humu asiwe akawa anakuchora [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] updates zipi unataka. Saivi napata huduma hata ambae ameoa hapati mzee
**** buddy or FFB but sometimes there is a possibility for both participants to catch a feeling and realize that they are falling in LOVE sasa hapo ndiyo huwa kizungumkuti especially when it comes to the next stage of their relationship.
Update za kupelekwa ukweni au kutegemea kijacho maana sidhani kama huchezi peku peku Mkuu.