Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli Mkuu.Kazi hakuna, sasa unapoamua kushinda JF kupata burudani halafu inakatishwa katishwa
lazima mtu uwe na hasira
Tehe tehe tehehilo hogo limenitamanisha weka picha bas
mmhLipo tuu hapa naona ukilitaja linatikisika na lilivyolala kivivu
[emoji85]Tehe tehe tehe
Unataka kuliona??
Mkuu tunaomba uhame jukwaa hili.Mnatuharibia kwarezima
Yaani unatoka na demu wangu unakuja humu kutangaza.hahah umenikumbusha hilo jina la hidaya ... kuna malaya flani ivi nilimkimbiaga wakati mi nipo 1st year ye anataka Elfu hamsini mi nikatoa 1500/= tuu alitukana matusi yote akaja hadi home ..uzuri alikutana na ma sister kumbe wanajuana aiseeeee
Tujiajiri.
Tutafute wadada tuigize muvi za X naona uko vizuri kuandika hadithi za kuwekana wekana.
Au?
Of course hizo muvi hazitapatikana Tz.Utamaduni hauruhusu mkuu.
Ila mwenzio hizo stori zinanipatia msosi
Tutatangaza hapa ajira tuone watakaojitokezaOf course hizo muvi hazitapatikana Tz.
Peace...Tutatangaza hapa ajira tuone watakaojitokeza
Ndiyo nitahusika moja kwa moja kwa kua muigizaji mkuu, yaani mfano katika hii stori mimi ndiyo ningekua Michael.Wee utausika pia au?
Lara1 atakuwa director
Hahaaahahaa!!Ndiyo nitahusika moja kwa moja kwa kua muigizaji mkuu, yaani mfano katika hii stori mimi ndiyo ningekua Michael.
wee bwanaa...wengine tuko singo na hizi hadithi zinaharibu siku...ukizingatia na huu msimu wa masika..
NGOJA NIENDE JUKWAA LA SIASA.
Hapo kazini hatuchagui, yeyote atakayekuja tutapiga kazi.Hahaaahahaa!!
Na unapendekeza nani awe Hidaya
weka picha hapa pm wengine hatujui kutumiaUnataka kuliona??