PENTAGON: Houth wamelipua meli ya Denmark

PENTAGON: Houth wamelipua meli ya Denmark

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,289
Reaction score
40,528
Hivi punde US imesema.

Pentagon official:

A Danish owned, Singapore flagged ship was hit by Yemen’s AnsarAllah cruise missile or UAV, earlier today in the Red Sea.

Additionally, 26 rockets (in batches of 14 & 12) and 3 UAVs (suicide drones) were fired by Iraqi resistance on 2 US bases.
IMG_20231231_103653.jpg
 
Marekani anatafuta uungwaji mkono ktk ule umoja wake wa mchongo wa kulinda bahari nyekundu,, meli ya Denmark tamko litoke pentagon wao kama nani kama si umbea,,,,, by the way houth walishasema meli yoyote inayokwenda Israel ikikatiza pande zao wanapita nayo,, wapite njia nyingine ya kulinguzuka bara lote la africa au wapae juu njia ya mkato...
Houthi kundi teule🔥🔥
 
Kuna muda unatakiwa kujifunza kunyamaza Ata Kama unakitu kimekukaa rohoni hii itakusaidia kuficha ujinga ulio nao kichwani

swali moja nisaidie why mnalia humu kutwa nzima kama Israel inawaua watu wasio na hatia wakati inawasaidia kwenda peponi sheikh
Daah! Halafu kweli si wanasaidiwa kwenda peponi😄😄😄😄. Ni mapumbavu kweli kweli hayajielewi.
 
Kenge hasikii hadi kwanza damu itoke masikioni..

Hao magaidi wa Houthi wanachokitafuta watakapoanza kukipata wataanza kulia lia kuwa wanaonewa sana
Mkuu hawa jamaa wanapigana na muungano wa Saudia, Qatar, Jordan na wenzao toka 2015 ila damu haijawatoka masikioni mpaka leo vita iko kwenye stalemate hakuna mshindi japo Houthi anaitawala karibu Yemen nzima kwahiyo wana uzoefu wa hizi mbungi, sio wazembe hata kidogo. Na hiyo ni mgogoro mkubwa na direct lakini mizozo wanayo toka 1994 walivoanzishwa na wanakomaa, kwahiyo kama kuna mgogoro US na wenzie wanataka kuanzisha kama ni betting we weka both teams to score, wanajiweza
 
Mungu hawalinde hawa Yemen ndiyo nchi pekee inayopigana na Magaidi wa Israel wanafiki hawaoni watoto wachanga wanaipigwa mabomu huko Gaza.
 
Back
Top Bottom