Bwana mapanki anawapa hofu US sana japo wanamdharau lakini anawafanya wasumbue akili zao maana hawajui anawaza nini ukizingatia jamaa mwenyewe kama amedata[emoji23]
Wanamdharau nje tu ndani anawakosesha usingizi
Na mambo yake ni ya siri hakuna anaefahamu uzito wa silaha zakeTehe!, kwa kweli...lol
Kuwakosesha usingizi kupo, maana mtu mwenyewe haeleweki eleweki halafu ana Nuke,
ambayo haijawahi kumwacha mtu salama.
Kiduku si kuwa ana nguvu sana
Marekani inamvumilia sababu ya SKorea na Japan tofauti na hapo angekuwa keshagongwa sana tu
Ukute Marekani inajiandaa kuwadungua bila wao kujua kwani SKorea akijua atahamisha wananchi wake na NKorea akijua wananchi wanahama anajua kinachofata ni moto hivyo anaweza anza tupa yale madude yake hovyo hovyo
Trump kashamchoka Fat boy anasubiri tu analysis za kina Jim Matt kuhusu Nkorea atoe maamuzi..Sana tu!.
Kwenye tweet ya Trump kuhusu test ya Kiduku, you can tell yamemfika kooni.
Mama lile la kiduku ni balaaa wakiliongeza mafuta lita moja tu lina ongeza masafa kwa nusu wanaongeza na acceleration lina tua bila shida yoyote pale!!Mmeona lakini kombora alilorusha mnyoa kiduku?
Kwaiyo wewe ni nani?Tatizo sisi wajuaji kuliko kina Mattis na ukiangalia sisi hatujawahi kwenda hata mgambo ila twajua sana
Marekani anafanya risi assessment kwanza anataka amfanyie surprise attack ambayo hatakuja sahau maisha hata wengine wataogopa kupiga bit
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwaiyo wewe ni nani?
Na umejuwaje marekani ana jipanga?
Alisha ambiwa arushe risasi moja tu kwenda north Korea aone madude yatakavyo ibuka yenyewe Automatic ata kim akiwa amelala!!
Marekani akapeleka meli vita kibao akambiwa na kim nina weza zizamisha kwa pigo moja tu sijuwi kama unajuwa maana ya pigo moja maanake hakuna kubahatisha !! Trump ikabidi akazifungie ndani huko south korea na ki jua cha alifari kilipo chomoza huyooo akaondoka zake taratibu kama nyoka!!
Lile ni dude mkuu mnyoa kiduku amemshika Trump pabayaMama lile la kiduku ni balaaa wakiliongeza mafuta lita moja tu lina ongeza masafa kwa nusu wanaongeza na acceleration lina tua bila shida yoyote pale!!
Mama lile dudu la kiduku siyo la kitoto au la ki sports sports 40minutes 930kilometres si mchezo lazima trump na wauza maneno wenzao uk akili ziwakae sawa hapo huto msikia France akiongea maana ameshaona !!Like ni dude mkuu mnyoa kiduku amemshika Trump pabaya
Du hii itakuwa taste kwa yule mama waziri mkuu wa UK kama atamsupport Trump. Inawezekana katika issue hii akabaki yes yes it's no bad idea. Mkuu tumuombe Mungu tuMama lile dudu la kiduku siyo la kitoto au la ki sports sports 40minutes 930kilometres si mchezo lazima trump na wauza maneno wenzao uk akili ziwakae sawa hapo huto msikia France akiongea maana ameshaona !!
Omba omba mungu sana siku USA akipigwa dunia itakuwa sehemu salama sana hutosikia neno ugaidi wala kuibiwa makinikia !!Du hii itakuwa taste kwa yule mama waziri mkuu wa UK kama atamsupport Trump. Inawezekana katika issue hii akabaki yes yes it's no bad idea. Mkuu tumuombe Mungu tu