daah
mwenye namba ya ras simba tafadhali
ila US na Korea hawa wez pigana wana tishiana tu
aahHahaha, eti ya namba ya Ras Simba, sio kwa wewe bwana.
Asee huku kutishiana sasa na kazi, naona jamaa wameamua kumuonyesha Kim wanayo pia inayoweza kutua downtown Pyongyang.
aah
umetupoteza tulo.kimbia shule (na baadhi walo enda shule.ila.lugha haipandi kama Rais)
nadhan NK wana zidi kuendelea ki nyuklia na US hawajui exactly wafanye nn, ila uzuri Trump.ka delegate sana issues za majeshi kwa wanajeshi wenyewe, so hana presha sana wanajeshi wake wanaumiza vichwa wanapiga na kaz kama hivo.
hana namna zaid ya kuwa diplomatic, hii ni nyuklia si mchezo, uzuri ni kuwa Trump haumizi kichwa mwenyewe kawaachia wasaidizi wake washughulikie yeye ana kula bata tu, ingekuwa kipindi cha Obama angekuwa halali ana waza afanyaje. ila pia naona Rais mpya wa SK anataka wafanye mazungumzo na NK na si vinginevoEti haipandi kama "Rais"...lol!
Sawa bwana! 😀
NK anaendelea na libeneke, na hili la jana limeongeza miles?..
Uzuri Trump anakuwa more diplomatic, naona sasa anataka UN iingilie kati zaidi.
hana namna zaid ya kuwa diplomatic, hii ni nyuklia si mchezo, uzuri ni kuwa Trump haumizi kichwa mwenyewe kawaachia wasaidizi wake washughulikie yeye ana kula bata tu, ingekuwa kipindi cha Obama angekuwa halali ana waza afanyaje. ila pia naona Rais mpya wa SK anataka wafanye mazungumzo na NK na si vinginevo
hahahaHaha, eti Obama angekuwa halali, si ndio uchapakazi huo...lol
Kumbe kuna uwezekano wa mazungumzo btn N&S Korea?!, may be this will be more effective.
Wakiwa wenyewe kwa wenyewe kama ndugu wa karibu.
hahaha
ndio maana kwenye maamuzi mengi ya kijeshi Obama alionekana weak, kwakuwa alitaka kila wanajeshi watakalo amua wamwambie kwanza akae na baralaza la usalama la taifa wafikirieee weee! ndio waje na na jibu la kukubali au kukataa, sasa yeye alikuwa raia tu watu wengi wa NSC huwa raia tu, hapo maamuz ya kijeshi yakawa ni magum na yankuchelewa, ki ufupi alijipa kazi kubwa mnoo.
DT yeye alicho fanya ni baada ya kumteua General Mattis aka mwambia nyie chapeni kaz mtakuwa mna nipa report tuu na kweli ma jenerali wana chapa kaz, kwa kuwa wameachiwa uhuru. ndio maana hana shda anapiga golf tu.
mazungumzo ni njia rais ila utakuwa ni kama ime mpa ushindi N.K nadhan na Trump hapendi hilo
uko sahihi as always, ndio.maana Obama alipendwa ila hakuogopwa kabsa.I see, no wonder Obama alikuwa anaonekana yuko extra care kwenye kila kitu mpaka kuonekana kama weak kwenye baadhi ya maamuzi ya kijeshi.
Na pengine ni mtu wa hands on zaidi, halafu Trump na past experience yake atakuwa kazoea watu kufanya kazi na ku report kwake tu.
Lakini ku deal na Kim kazi kweli. Ni kama vile ukimpiga unamuonea na ukimwacha unamuogopa. Tatizo kakutana na Trump kichwa ngumu mwenzake.
Unataka tuition ya papo kwa papo?daah
mwenye namba ya ras simba tafadhali
ila US na Korea hawa wez pigana wana tishiana tu
uko sahihi as always, ndio.maana Obama alipendwa ila hakuogopwa kabsa.
pia kwa Kim angependa kabsa hata Trump aende NK, hii ingemaanisha ni kama Trump kashakubaliana na utawala wake, ambao ki ukweli ana umiza wananchi wake. Trump yeye kama yeye naye angependa iwe hivo ila wasaidiz wake ndio watakuwa wana mwambia bro tulia tu utaharib mahusiano na allies wetu, tujarib kusogeza siku mbele tuone mambo yata kaaje.
Sasa mbona wanachelewa.,wana muogopa.Hahaha, eti namba ya Ras Simba, sio kwa wewe bwana.
Asee huku kutishiana sasa ni kazi, naona jamaa wameamua kumuonyesha Kim wanayo pia inayoweza kutua downtown Pyongyang.
Wanamdharau nje tu ndani anawakosesha usingiziBwana mapanki anawapa hofu US sana japo wanamdharau lakini anawafanya wasumbue akili zao maana hawajui anawaza nini ukizingatia jamaa mwenyewe kama amedata[emoji23]