B Bishuu JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 236 Reaction score 74 Jan 29, 2014 #21 kibol said: Wanawake ni watu wa hovyo hovyo sana,wakati mwingine hawana tofauti sana na wanasiasa.............hopeless kabisa Click to expand... Na mamayo yumo ktk list
kibol said: Wanawake ni watu wa hovyo hovyo sana,wakati mwingine hawana tofauti sana na wanasiasa.............hopeless kabisa Click to expand... Na mamayo yumo ktk list
K kidodosi JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 2,361 Reaction score 1,488 Jan 29, 2014 #22 Watumiaji ndio tabia zao!!
thegreen JF-Expert Member Joined May 22, 2013 Posts 369 Reaction score 172 Jan 30, 2014 #23 penny, we piga kimya enelea na life yako. hizo maneno maneno zako kwa media tushazichoka.
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,626 Jun 3, 2015 #25 Kaona haongelewi kaja kwa kumtaja D, sioni jipya alilosema.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,672 Reaction score 167,738 Jun 3, 2015 #26 Naona wameshindwa kabisa kumsahau diamond...kweli yule sukari ya warembo!!! Et wamepumzisha penzi mxyuuuu
Naona wameshindwa kabisa kumsahau diamond...kweli yule sukari ya warembo!!! Et wamepumzisha penzi mxyuuuu
U UDSM Alumni JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 2,562 Reaction score 1,393 Jun 4, 2015 #27 Bongo bila kick maisha ayaend