Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
Tushamsikiaa!!!! inaonyesha alipigwaa kibutii halafu bado anamsifia sifia angekua mtu makini angetulia na mwanamke mmoja inaonyesha dudu zao zina meno ndio maana domo hatulii mara huku mara kule

Anifuate mimi tuanzishe uhusiano sio maarufu kabisa.
Wanawake ni watu wa hovyo hovyo sana,wakati mwingine hawana tofauti sana na wanasiasa.............hopeless kabisa
Tatizo umezaliwaa na mwanamke hujajishusha uwe na adabu kwa wanawake
Jipe moyo dada Penseli maana Diamond kwa Wema ndio Kigoma mwisho wa reli mamangu!
Wanawake ni watu wa hovyo hovyo sana,wakati mwingine hawana tofauti sana na wanasiasa.............hopeless kabisa
Wanawake ni watu wa hovyo hovyo sana,wakati mwingine hawana tofauti sana na wanasiasa.............hopeless kabisa
Wanawake ni watu wa hovyo
hovyo sana,wakati mwingine hawana tofauti sana na
wanasiasa.............hopeless kabisa