salaam,leo katika magazeti nimesikia pengo akisema yeye hatumiki na ccm katika maswala ya katiba.askofu pengo anasema kama yeye anatumika na ccm je wanaompinga wanatumika na ukawa?swali langu najiuliza hivi je kwenye vikao vya tec yeye pengo na wenzie walikubaliana nini?na je ni nani mmiliki wa katiba kati ya ccm,serikali,ukawa au wananchi na kama wamiliki ni wananchi yeye pengo anavyoona wananchi wamesikilizwa na kama wamesikilizwa matakwa yao yametekelezwa?kwa ujumla askofu pengo amechemka kuanza kuwa husisha wenzie na ukawa.nawasilisha
Muadham kadinali Pengo kwanza nakupa pole kwa watu wanaokutuhumu wewe ndio mtu wa dini kwelikweli achana na hao waganga wa kienyeji mm nimesoma shule za roma zinamaadili mazuri sana nimefundishwa adabu nidhamu na kila kitu
Cardinal Pengo, Kuna watu wanajua imani yako, wanajua uadilifu wako na wanafahamu vizuri kwamba kazi yako unayoifanya haitangamani na upande wowote.....
Najua vizuri wanaokusakama hawana jambo jipya zaidi ya kusukumwa na hisia binafsi hata bila kuangalia uzito wa Yale uyasemayo......
Umekuwa mkweli, umesimamia utumishi uliotukuka katika kanisa, hata mahubiri yako yanalenga kuleta amani kwa taifa letu.
Mwadhama Cardinal, wanaokupinga ni hawakujui na hawajui ni kwakiasi gani wewe unaangalia maswala ya kitaifa zaidi hasa amani, your not that much cheap and Cardinal Title isn't also cheap...
keep on forgiving them, hakuna unachoweza kufanya zaidi ya kuwasamehe na kuwaombea kama ambavyo umekuwa ukifanya kila Siku...
Mungu akubaliki sana Baba Askofu.