Pengo: Nimesamehe

Pengo ni mnafiki anaungana na polisi wanataka wamwue Gwajima kisa elekopta,wakati elekopta ni usafiri Wa kawaida, mbona polisi wanashindwa kuoji hela anazogawa Lowasa kwa wenye mtindio Wa ubongo kumshawishi agombee urais
 
acha kujenga hoja za kijuha mtu mzima wewe!
 
Gwajima si askofu.

Pengo ni mnafiki sana na atakuwa kamuwekea sumu Gwajima msema ukweli
 
PENGO ni mtumishi wa kaisari si wa wakatoliki
pengo alitakiwa aliombe kanisa masamaha badala ya kukimbilia kusema amemsamehe GWAJIMA

PENGO hakutakiwa kupingana na baraza la maaskofu wakati yeye ni mjumbe wa hilo baraza.
kWA SISI WAKATOLIKI na hasa tuliozama kwenye hii iman na tunaofaham protokali za kikatoliki PENGO HALIFAI TENA KANISA.

KAMA PENGO AMESHINDWA NA ANATAKA KUFANYA SIASA ajiondoe kanisani kama alivyojiondoa SLAA
 
Askofu mkuu wa jimbo la Dar es Salaam, mwadhama Pengo amesema amemsamehe mchungaji Gwajima na wote walioguswa. Ameyesema hayo wakati wa ibada ya Leo Jumapili katika kanisa la St. Joseph

Chanzo: Mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye misa

Mnafiki huyo, unasamehe vipi baada ya kuona mhusika yupo mikononi mwa polisi na kuhojiwa masuala yasiyohusiana na alichosema juu yake?! Alitakiwa kusamehe hadharani mara tu baada ya Gwajima kutukana, na kumwachia Kaisari aendelee na taratibe zake!!
 
Kama kamsamehee mbona hajatamka kuwa Kova tunajua wewe ni kiherere mbele ya ccm na kikwete mwacheni mtumishi Wa mungu arudi kwa kondoo wake,hivi Pengo naye anaingia kwenye Nec ya ccm ya kuteua urais??
 
Sio kusamehe tu na YEYE ameomba msamaha wakristu kwa kutusaliti??..Yeye ni msaliti,Awaombe msamaha maaskofu wenzie kwa usaliti huu mkubwa na kufanya kazi isiyo yake

U are right brother...huyu mzee atuombe msamaha kwa dhati kwa kutumika kutuambia ----- wake....

Halafu aache ku take advantage ya matukio,no wonder akawa anajigamba "si mnaona Gwajima hoi,msicheze na mimi"
 
Truth mkuu
 
Amesamehe baada ya kumsababishia mwenzake matatizo!

Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Nani kamsababishia mwenzake matatizo? Salary slip, sikujui, lakini huwa naona post Zako za mtu msomi! Sasa hii statement yako inanipa mashaka makubwa sana. Nani kamsababishia mwenzake matatizo, nifafanulie
 
Mkuu hapo mwkt wa TEC kuwa mkuu wa kanisa ni kwl, kardinali ni cheo tu ila sio mkuu wa kanisa
 
Amesamehe baada ya kumsababishia mwenzake matatizo!

Huu ni unafiki wa hali ya juu.

Hapana! Gwajima aliyataka mwenyewe! Mbona maaskofu Wa TEC wenyewe hawajamtukana Pengo? Sisi huku kwetu askofu Mkuu alituasa tuzingatie yaliyomo kwenye tamko lao bila kumtuhumu Pengo kwa lolote! Wacha Gwajima moto Wa Bikra Maria umwakie mpaka na yeye atubu kwa matusi aliyoyatoa kwa Kadinali Pengo!
 
Asante baba askofu ila sisi hasa mimi sitamsamehe mwanaharamu huyu so called Gwajima
 
Nani kamsababishia mwenzake matatizo? Salary slip, sikujui, lakini huwa naona post Zako za mtu msomi! Sasa hii statement yako inanipa mashaka makubwa sana. Nani kamsababishia mwenzake matatizo, nifafanulie

Umeona Mkuu eeeh? Kwa kweli hata mimi nimehizunishwa sana na hiyo post ya Mkuu salary slip! Nikawa nawaza hivi ni hii mvua ya pasaka ndo imemfanya huyu mdau awe low kiasi hicho? Kwa kweli amefikri chini sana ya kiwango chake, hii ni below average!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…