Pengo: Nchi imeoza!

Sasa hivi Pengo kawa Mwanya kaufyata kama yanayoendelea hayaoni..Warumi ni wanafiki kweli
 
Najua term inayokuja itakuwa ya muislam,sasa nije nione viongizi wa kikristo wakileta unafiki wao wa nyaraka ....kitanuka na nitaslimu kwa Mara ya kwanza kuliamsha dude...
 
unafiki. unafiki unafiki..

Tena wa kiwango cha lami..
 
Wananchi acheni kiherehere buana,tulishaenda magogoni tukanywa juice,tukaongea mambo yetu,mipango ikapangika,sasa tabu iko wapi?,ujanja kuwahi
 
Baada ya Mkatoliki kutwaa madaraka kaufyata !
 
Hii nchi kweli IMEOZA wala siyo siri. Taasisi zote muhimu ni UOZO MTUPU with exception of CAG’s office. Kuanzia Ikulu na kwingine kote.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…