Pengo la Lowassa limeanza kuonekana CCM

Pengo la Lowassa limeanza kuonekana CCM

Hizi ni porojo za kweny mitandao kaka.. Tusubir oct tuone nan mpiga porojo na nan anafanya kweli..

Tunajua ushindi wenu upo mitandaon lakn ngoja turudi uraian huko

Mwaka huu tutalinda kura zetu. Hamtakimbia na masanduku tena. Na tutahesabu wenyewe!!
 
Back
Top Bottom