Pengo la Lowassa limeanza kuonekana CCM

Pengo la Lowassa limeanza kuonekana CCM

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,194
Ndugu zangu wa JF nawasalimu,

Pengine nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema aliyonipatia.Kisha niende kwenye mada.

Ni Ukweli usiopingika kuwa Upepo wa Magufuli umeanza kupotea na hii imetokana na hatua ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa kwenda CHADEMA.

Tunajua rekodi nzuri ya kiutendaji ya Mgombea wa CCM Dk. John P. Magufuli inamuweka katika nafasi ya kushindwa kupambanua kashfa zake, Lakini rekodi mbaya ya Chama Chake+Watu waliomzunguka na wengine wengi wa aina hiyo wanaweza kusababisha kushuka na kushindwa kwa Magufuli ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Pia Ikumbukwe kuwa tafiti mbali mbali zilizowahi kufanywa na taasisi mbalimbali mwaka 2014na 2015 kuhusu mgombea wa Urais anayekubalika zaidi, Tafiti nyingi zilimtaja Lowassa kama mgombea anayekubalika zaidi na kufuatiwa na Dr. Slaa. Magufuli hakuwepo hata kwenye 5 bora za tafiti zote zilizofanywa.

Sasa tunaona muungano wa watu hawa waliotajwa kuongoza ktk tafiti, Lowassa na Slaa wakiwa ktk Chama Kimoja+Mbowe+Lipumba+Mbatia, Nini kitatokea hapo?

 
Subiri, Oktoba 25 ndio utafahamu ukweli hayo mengine ni maneno tu hata kwenye Kanga yapo.
 
Walikaidi maoni ya wananchi, na sasa kinawatokea kibaya baada ya kukaidi matokeo ya tafiti.
 
Hapa kinachohitajika ni kuiondoa CCM kwanza, mambo mengine baadaya. Nimekutna na vijana wengi sana wanasema safarii lazima waing,0e CCM. Halafu hawa wanaojiita wasomi wa CCM, Hivi CCM kuna wasomi au watu waliudhuria shule. Msomi gani anavimilia uvundo kama huo.
 
Hizi ni porojo za kweny mitandao kaka.. Tusubir oct tuone nan mpiga porojo na nan anafanya kweli..

Tunajua ushindi wenu upo mitandaon lakn ngoja turudi uraian huko
 
Chadema hawana chao..poor them wamwjichimbia kaburi lao wenyewe...CCM Watamtumia Lowassa kama fimbo ya kuwachpia....!Yule baba ni useless anaulizwa swali la msingi analijibu kirahisi rahisi tu,ni mjinga tu na wachumia tumbo ndo watakaompa kura
 
Ndugu zangu wa JF nawasalimu.Pengine nianze kwa kumshukuru mwenyezi mungu kwa afya njema aliyonipatia.Kisha niende kwenye mada. Ni Ukweli usiopingika kuwa Upepo wa Magufuli umeanza kupotea na hii imetokana na hatua ya Waziri Mkuu Mstaafu. Mh Edward Ngoyai Lowasa kwenda Chadema. Tunajua rekodi nzuri ya kiutendaji ya Mgombea wa CCM Dk. John P.Magufuli inamuweka katika nafasi ya kushindwa kupambanua kashfa zake, Lakini rekodi mbaya ya Chama Chake+Watu waliomzunguka Na wengine wengi wa aina hiyo wanaweza kusababisha kushuka na kushindwa kwa Magufuli ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huu..Pia Ikumbukwe kuwa tafiti mbali mbali zilizowai kufanywa na taasisi mbalimbali mwaka 2015 na 2016 kuhusu mgombea wa urais anayekubalika zaidi, Tafiti nyingi zilimtaja Lowasa kama mgombea anayekubalika zaidi na kufatiwa na Dr. Slaa. Magufuli hakuwepo hata kwenye 5 bora za tafiti zote zilizofanywa. Sasa tunaona muungano wa watu hawa waliotajwa kuongoza ktk tafiti, Lowasa na Slaa wakiwa ktk Chama Kimoja+Mbowe+Lipumba+Mbatia, Nn kitatokea hapo?

mkuu, hadi tafti za 2016 zinamtaja Lowasa? atakuwa ametumwa kuja kuokoa hiki kizazi
 
Nimewaona CCM wakitimka Ikulu kama popo,kwa mbaali nimemuona Lowassa akielekea Ikulu kwa mwendo wa ndege ya kijeshi.
 
hakuna jambo ambalo litaleta ushindi wa kishindo kama lowasa na slaa watakaa meza moja watamke neno la ushindi kwa watanzania hilo jambo linasubiriwa kwa hamu kubwa na jambo hilo litaleta stress kwa babu yenu ccm
 
Hapa kinachohitajika ni kuiondoa CCM kwanza, mambo mengine baadaya. Nimekutna na vijana wengi sana wanasema safarii lazima waing,0e CCM. Halafu hawa wanaojiita wasomi wa CCM, Hivi CCM kuna wasomi au watu waliudhuria shule. Msomi gani anavimilia uvundo kama huo.

Nimekumbuka na kwa gadafi
 
Upepo wa Magufuli bado haujapotea! Tanzania tunaishi/kwenda kwa matukio. Karibuni tulikuwa na Escrow, baadaye Safari ya Matumaini kisha BVR; Magufuli na sasa Kamanda Lowassa! Kwahiyo, likitokea tukio lingine watu watahamia huko na hasa kipindi cha kampeni.
 
Lowassa toka atangaze kugombea Urais Watu wengi wa jijini Dar. waliokuwa wamekata tama walianza kwenda kujiandikisha kwenye mfumo wa BVR ili kupata vitambulisho, na hii hata Channel Ten wamelipoti....yaan hali ni tete sana huku mikoani kwani kwa mfano, CCM walitegemea kuwa Kura za kanda ya ziwa Magufuli angepeta lakini tayari upepo umebadilika kama Radi na sasa ni Lowassa...

Tunasubiri kuona ni mbinu gani CCM itatumia...
 
Upepo wa Magufuli bado haujapotea! Tanzania tunaishi/kwenda kwa matukio. Karibuni tulikuwa na Escrow, baadaye Safari ya Matumaini kisha BVR; Magufuli na sasa Kamanda Lowassa! Kwahiyo, likitokea tukio lingine watu watahamia huko na hasa kipindi cha kampeni.
Bahati mbaya hili tukio la EL litavuma mpaka october kwenye sanduku la mpiga kura.
 
Ndugu zangu wa JF nawasalimu.Pengine nianze kwa kumshukuru mwenyezi mungu kwa afya njema aliyonipatia.Kisha niende kwenye mada. Ni Ukweli usiopingika kuwa Upepo wa Magufuli umeanza kupotea na hii imetokana na hatua ya Waziri Mkuu Mstaafu.

Mh Edward Ngoyai Lowasa kwenda Chadema. Tunajua rekodi nzuri ya kiutendaji ya Mgombea wa CCM Dk. John P.Magufuli inamuweka katika nafasi ya kushindwa kupambanua kashfa zake, Lakini rekodi mbaya ya Chama Chake+Watu waliomzunguka Na wengine wengi wa aina hiyo wanaweza kusababisha kushuka na kushindwa kwa Magufuli ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Pia Ikumbukwe kuwa tafiti mbali mbali zilizowai kufanywa na taasisi mbalimbali mwaka 2014na 2015 kuhusu mgombea wa urais anayekubalika zaidi, Tafiti nyingi zilimtaja Lowasa kama mgombea anayekubalika zaidi na kufatiwa na Dr. Slaa. Magufuli hakuwepo hata kwenye 5 bora za tafiti zote zilizofanywa. Sasa tunaona muungano wa watu hawa waliotajwa kuongoza ktk tafiti, Lowasa na Slaa wakiwa ktk Chama Kimoja+Mbowe+Lipumba+Mbatia, Nini kitatokea hapo?

Tatizo siku hizi JF imeingiliwa na vijana wa shule, Hivi unaichukulia poa sana CCM!! kitu nilichogundua hapa JF wengi wenu mnasukumwa na MAHABA mnaandika vitu bila kupembua upande mwingine wa Shilingi, mnajikita upande mmoja tu wa shilingi. Ogopa sana hivi Vyama vilivyoanzishwa kwenye misingi ya "Ukomonisti"
 
Back
Top Bottom