M Mpucha JF-Expert Member Joined Jun 11, 2012 Posts 1,273 Reaction score 1,662 Mar 18, 2019 #1 Mimi ni mpenzi wa kipindi cha jahazi ila ukweli hiki kipindi bila kibonde (RIP) kimepwaya, Captain na George Bantu nawaomba msikate tamaa hizi ni changamoto za maisha
Mimi ni mpenzi wa kipindi cha jahazi ila ukweli hiki kipindi bila kibonde (RIP) kimepwaya, Captain na George Bantu nawaomba msikate tamaa hizi ni changamoto za maisha
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,787 Reaction score 24,926 Mar 18, 2019 #2 Halizibiki ndio ila replacement itafanyika Sent using Jamii Forums mobile app
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,177 Reaction score 98,634 Mar 18, 2019 #3 Utazoea tu mkuu mwanzo mgumu kukubali kwamba kibs hayupo.
Profesa ntare nkobe JF-Expert Member Joined Feb 5, 2018 Posts 6,954 Reaction score 8,148 Mar 18, 2019 #4 Pengo linazibika kwa jino la dhahabu kuongeza thamani wajitahidi Bukoba
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,701 Reaction score 55,357 Mar 18, 2019 #5 Rip Kibonde Sent using Jamii Forums mobile app