WALA USISUBIRI BAKWATA. FUNGULIA REDIO KHERI 104.20Mhz LEO JMAPILI SAA TATU NA NUSU USIKU YUKO SHEIKH BASSALLEH ATASEMA SANA KUWA MAASKOFU WANAINGILIA SIASA. PILI CHANNEL TEN LEO USIKU YUKO SHEIKH SAID NI MSEMAJI WA JK HATAKOSA KUMSEMEA JK.Haya sasa tunasubiri tamko toka BAKWATA. Tuone upande wa pili nao wanasemaje kuhusu jambo hili.?
umtoe nani? Rais Kikwete? Thubutu. you will see na uzezeta wako huo.Kuna MwanaJF mmoja aliwahikuwasema humu Jamvi kuwa Ni Bora Kikwete akiwa nje ya nchi kuliko akiwa ndani ya nchi anatoa maneno ya Kukejeli, Kuudhi na ya kijingajinga anaropoka hovyo kama vile hakuwahi kumaliza Shule. Nimeamini kuwa Kikwete akiwa nje ya Tanzania, Watanzania wanakuwa na uafadhali kuliko akiwa ndani.
Kwanini tusimtoeni kwa Nguvu ya Umma, ni kitu gani kinashindikana? Watanzania wenzangu muda wa kuchukuwa hatua umefika mambo mengine sio ya kuyafumbia Macho lazima tusimame na nchi yetu
.Hakuna chochote kinacho msumbua huyo mnafiki zaidi ya kununa, nchi hii imepitia mambo mangapi makubwa kabla kanisa lake halijaingia kwenye kampeni za Slaa lakini hakuwahi kuongea kitu lakini tokea huyo padri mwenzake ameshindwa uchaguzi basi ni nongwa tu kila kukicha. Narudia tena Pengo na wenzake wa TEC na wengine wooote waliokuwa wapiga kampeni wa Slaa wamenuna tu ndio kinacho wasumbua, na salamu zao wataendelea kunua hadi 2015 labda wakaze buti kwenye hizo mbinu zao za kupindua serikali halali.
Kwanini Pengo ilimuuma ile kauli ya Kikwete? au ni mmoja wa washukiwa.
lakini siku hizo hana uzito wowote kulinganisha na Wakati za Nyerere.
mkuu kwenye highlight hapo nadhani umekosea. Hakuna kumtoa mtu hapa mpaka 2015. huo umma wanaouongelea ni upande mwingine. geuza pia upande wa pili wa shilingi, kuna bonge la umma. huo hauogopi chochote na hauna cha kupoteza. huo umma wanaouongelea si kwa wanao peke yako, Hata JK alishasema wanasema nguvu ya umma as if huo umma wanao peke yao. Wasifikiri nchi itatawalika. Thubutu. waendelee tu hukuhuku kwenye net tu na si kule uraiani. Full stop.Hakuna chochote kinacho msumbua huyo mnafiki zaidi ya kununa, nchi hii imepitia mambo mangapi makubwa kabla kanisa lake halijaingia kwenye kampeni za Slaa lakini hakuwahi kuongea kitu lakini tokea huyo padri mwenzake ameshindwa uchaguzi basi ni nongwa tu kila kukicha. Narudia tena Pengo na wenzake wa TEC na wengine wooote waliokuwa wapiga kampeni wa Slaa wamenuna tu ndio kinacho wasumbua, na salamu zao wataendelea kunua hadi 2015 labda wakaze buti kwenye hizo mbinu zao za kupindua serikali halali.
Safi sana......watu wa aina yako ndiyo wale ambao wakitua tu pale Hollywoodland inakuwa ni vituko tu, kwani kila mzungu mzee na mwanaume wanayekutana naye wandhani ni Chuck Norris....wanaanza kumsumbua eti wapige naye picha ya ukumbusho.Huyu si ni member wa mafiaso wa Sicily Italy? Lazima atakuwa anahusika na biashara ya unga!
umtoe nani? Rais Kikwete? Thubutu. you will see na uzezeta wako huo.
.Halafu kitu ambacho kimewaudhi sana wakristo ni kwamba jk alisema baadhi ya viongozi wa dini wanahusika na biashara ya madawa ya kulevya. baadae wanasema alimaanisha makanisa madogo. maana yake viongozi wa dini alimaanisha wakristo ndio maana akawa specific kuwa ni makanisa madogo. waislamu na dini nyingine wao rais anasema ni watakatifu hawahusiki
bakwata huku hakuna kauli kwa kuwa hatuhusiki na biashara ya madawa ya kulevya, wewe ukimuona mtu anajibu na anatoa kauli za kashfa kwa Rais juwa anahusika, Rais amegusa maslahi yao, na kama kutajwa wameishwa tajwa tunawajua, tunawafahamu.Haya sasa tunasubiri tamko toka BAKWATA. Tuone upande wa pili nao wanasemaje kuhusu jambo hili.?
Hapo kwenye red I can imagine....! kama mtu kutwa nzima unacheza bao au unashinda kwenye nyumba ya ibada kweli hautakuwa na cha kupoteza!! Ila ipo siku itafika hata nyinyi mtasema basi..liwalo na liwe..kwa sababu kikwete anafikiri kwa kutumia masaburi!mkuu kwenye highlight hapo nadhani umekosea. Hakuna kumtoa mtu hapa mpaka 2015. huo umma wanaouongelea ni upande mwingine. geuza pia upande wa pili wa shilingi, kuna bonge la umma. huo hauogopi chochote na hauna cha kupoteza. huo umma wanaouongelea si kwa wanao peke yako, Hata JK alishasema wanasema nguvu ya umma as if huo umma wanao peke yao. Wasifikiri nchi itatawalika. Thubutu. waendelee tu hukuhuku kwenye net tu na si kule uraiani. Full stop.
bakwata huku hakuna kauli kwa kuwa hatuhusiki na biashara ya madawa ya kulevya, wewe ukimuona mtu anajibu na anatoa kauli za kashfa kwa Rais juwa anahusika, Rais amegusa maslahi yao, na kama kutajwa wameishwa tajwa tunawajua, tunawafahamu.