Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Kumekuwa na kanuni nyingi zinazoelezea ulimwengu wetu jinsi ulivyo umbwa ikiwemo kanuni hii maarufu ya wanasayansi wakubwa "0123" huku "0" ya kanuni hii ikieleza au ikiwakilisha "utupu" yani ulimwengu ulianza ukiwa amna kitu alafu baadae ikaja "1" yani vitu vikaanza kuwepo baadae ikaja "2" nyota zikatokea na vitu vingine kibao alafu "3" sasa wanadamu wakawepo na dunia ikawepo mpaka hapo tupo pamoja twende taratibu.
Mufafanuzi kwa picha wa "0123" huu hapa
(0) yani kulianza amna kitu
(1) vitu vyote nyota sayari vikaanza kuwepo
(2) dunia ikaanza kuwepo
(3) Maisha na wanadamu wakaanza kuwepo ambapo hii inakamilisha "0123"
Sasa hapo tunakuwa tumekamilisha hiyo kanuni "0123" lakini bado kwenye ulimwengu wetu kuna nguvu za ajabu zisizo onekana nguvu hizi ni mfano wa uwazi tusio weza kuushika wala kuuona ambao unashikiria dunia yetu na kila kitu kisichoropoke lakini tunaona tu athari zake ambao umechukua 68% ya eneo la ulimwengu wetu ambapo kwenye hii kanuni ya "0123" haija jumuisha, wataalamu wanauita "Dark energy" mpaka sasa hakuna anayejua hiki ni kitu gani hatukioni wala hakishikiki.
pia hakuna sehemu ilipo jumuisha nguvu nyengine tusizo ziona yani mfano "gravity" lakini ipo hatuioni kwa macho wala kuishika pia hii gravity.
sasa pengine kanuni yangu mpya inaweza kuelezea utokeaji wa nguvu hizo hivyo kanuni yangu ya "1 0 + -" imejumuisha vitu vyote na huwenda ikawa sahihi katika kutafuta ufumbuzi wa ulimwengu wetu ulivyotokea wote hatua kwa hatua.
Kumbuka Lazima tupate kanuni moja yenye jibu moja ili kuelezea ulimwengu wetu ulivyotokea twende taratibu.
pengine unaswali lakini hizi kanuni zinamaana gani hasa, ili ni swali la msingi sana hebu nielezee kwa mfano huwezi kujenga nyumba au chochote bila kuwa na msingi ramani ya hicho kitu ni nini ili ukijenge kwahiyo suala la wanadamu kutafuta kanuni ya uumbaji imekuwa bado ni jambo la msingi sana kulifahamu ili kupata kuelewa ulimwengu wetu ulivyo umbwa na ulivyotokea.
Kama tulivyo toa mfano ujenzi wa nyumba ili kuelewa nyumba imejengweje lazima kwanza ujue kanuni na misingi yake kama ramani ya kuona mwanzo wa nyumba ulivyotokea.
ambapo kuelewa msingi huo au kanuni hizo ni hatua muhimu ya kufumbua siri au fumbo la kuuelewa ulimwengu wetu kwa undani jinsi ulivyoumbwa au ulivyotokea.
lakini mpaka sasa bado hakuna kanuni ya moja kwa moja inayoweza kusimama na kuelezea kila kitu kuhusu ulimwengu wetu ulivyotokea, kanuni hizi ni msingi katika kuufahamu ulimwengu wetu ulivyoumbwa lakini lazima kanuni hiyo ili iwe sahihi lizima iweze kutoa majibu ya kila kitu kuhusu ulimwengu watu, sayari, nyota, dark energy n.k
Mimi nimekuja kueleza Kanuni yangu hii 1, 0, -, + kama inasimama kwa ushahidi kueleza siri ya muundo wa ulimwengu wetu inatoa jibu kwa wanadini na wanasayansi jibu la usawa lakini inamaanisha nini hasa na inahusiano gani na ulimwengu wetu ?
Kanuni hiyo inamaanisha Kutoka kwa Utupu Hadi Maisha: Ulinganifu wa Nguvu za Ulimwengu na Asili ya Uhai
UTANGULIZI
Kila tunachokiona katika ulimwengu — sayari, nyota, hata sisi wenyewe — ni sehemu ndogo sana ya kile kinachounda ukweli mzima. Takribani 68% ya nguvu ya ulimwengu inatajwa kuwa dark energy ambayo ni nguvu hasi (-), na 32% ni dark matter amabayo ni chanya (+) ambapo kati ya hiyo ni 5% tu ya matter ya kawaida ndiyo tunayoweza kuona au kupima.
Lakini tunavyoishi na kuzunguka, tunajua kuna nguvu moja muhimu sana: gravity. Makala hii inachunguza kwa kina jinsi nguvu hizi tatu — dark energy, gravity, na matter — zinavyohusiana, na namna mlinganyo huu unaweza kuelezea kanuni ya ulimwengu kuwa ni 1, 0, -, + sio tu kueleza nguvu hizi bali kanuni hii inaweza kueleza na kulingana hata na asili ya maisha ya wanadamu inatupa jibu moja.
Mfano wa kuelezea nguvu hizi dark energy, matter, gravity
1 (Chanzo)
↓
0 (Utupu)
↓
– (Dark Energy 68%)
↓
+ (Matter → Gravity, System 32%)
Mafano wa Mlingano na maisha ya dunia
1 = Uwezekano wa kuzaliwa (nafasi ya roho au kiini)
↓
0 = Utupu wa kabla ya kuwepo (hakuna mimba bado)
↓
– = Mchakato wa kuumbwa (kutungwa mimba hadi ukuaji mdogo)
↓
+ = Kukomaa, uwezo, nguvu, mwanga
↓
Life = Uhai unaojieleza kupitia chanya na hasi
Twende taratibu hapo utanielewa vizuri
MAANA ZA MSINGI:
Dark Energy
Ni nguvu hasi isiyoonekana ambayo inahusishwa na kasi ya upanuzi wa ulimwengu. Inasukuma vitu vitokeane kwa kasi inayoongezeka kila wakati.
mchoro wa kuonesha sehemu ilipo hiyo dark energy sehemu hii inaonesha athari zake tu lakini hatuioni yenyewe imeshikilia dunia yetu na kila kitu " tazama hii picha kisha angalia huo weusi unao ishikilia dunia huo unashikilia kila kitu nyota zote ambao umechukua 68% ya dunia yetu chanzo chake hakifahamiki ni kama upepo hivi au uwazi wanaita "dark energy" mpaka hapo utakuwa umenielewa.
"hiyo sehemu ya nje yenye deep dark ndio dark energy ni eneo kubwa sana na limeshikilia kila kitu kwa pamoja" linaunda ulimwengu"
Gravity
Ni nguvu chanya inayovutia matter pamoja. Inawajibika kwa kuunda mfumo wa nyota, mizunguko ya sayari, na kuwepo kwa ulimwengu wenye muundo.
Hii gravity sio geni kuisikia hii ni ile nguvu tu ya eneo la karibu na object au matter yoyote mfano dunia, jua ina gravity imetengeneza system yake imaya lakani vyote kwa pamoja vimeshikiliwa au vipo kwenye kitu kinaiwa dark energy.
Matter
Ni vitu vyenye uzito au molekuli, vinavyoundwa na atomi. Hii ni pamoja na nyota, sayari, miili yetu, na kila kitu tunachoweza kugusa au kuona.
mpaka hapo tupo pamoja sindiyo ? sasa ushanielewa tuingie kwenye hii nadharia yangu ya kanuni hii "1, 0, -, +"
Katika utafiti wangu nimegundua kuwa ulimwengu wetu huu umeundwa kwa kanuni tajwa hapo juu kwanini ?
1 (Chanzo)
↓
0 (Utupu)
↓
– (Dark Energy 68%)
↓
+ (Matter → Gravity, System 32%)
tuanze na kuchambua kanuni yangu hapo juu kuufahamu ulimwengu kanuni yangu inaanza na moja ikimaanisha kuwa ili kitu kiweko lazima kiwe na chanzo kwanza, mfano huu hapa chini wa maisha yetu ya kawaida yalivyo na jinsi wanadamu wanavyotokea ndivyo ulimwengu wetu ulivyo tokea hapo awali.

Hivyo kabla ya ulimwengu wetu kuwepo kulikuwa na chanzo ambacho wanadini wanadai ni mungu aliumba na mimi naamini hii "1" inawakilisha mungu kama chanzo cha uwepo wa kitu, mfano ili mtoto azaliwe lazima kuwe na chanzo, mfano ili nyota izaliwe lizama kuwe na chanzo. hili ni jambo gumu bado japo mimi nimelithibitisha kuwa lipo.
Mfano wa Kuonyesha Hili:
1 → 0 → - → +
1 ni hali au chanzo ambacho hakiwezi kufafanuliwa — lakini ndicho kilichoanzisha uwepo (mtazamo wa kifalsafa).
0 ni utupu, lakini ni utupu unaoruhusu matukio — sio kizuizi.
- ni dark energy: inazaliwa kutoka kwa hiyo nafasi ya kutokuwepo (0).
+ ni matter: inazaliwa kama athari ya ndani ya hiyo hasi.
Je, Hii Inaungwa Mkono na Sayansi?
Katika fizikia ya kisasa, kuna nadharia kama:
Zero-energy universe hypothesis: Ulimwengu unaweza kuwa na jumla ya nishati ya 0, lakini bado ukawa na vitu vyenye muundo.
Quantum fluctuation: Kitu kinaweza “kujitokeza” kutoka kwa utupu kwa muda mfupi — kama matokeo ya hali ya quantum.
Swali sasa tumeona kuwa "1" inawakilisha uwezekano wa kuwepo kwa kitu au chanzo cha yote, au chanzo cha tukio na "0" ni nafasi ya utupu kwaajili ya kutokea tukio hilo kutoka kwa chanzo cha tukio ambayo ni "1" sasa tuendelee.
je, hii - na + ina maanisha nini tayari tushaona kuwa "1" ni chanzo na "0" ni eneo la tukio lillilo tupu kwaajili ya kutokea kitu flani. sasa vipi hizi - na + ni nini ?
- ni dark energy: inazaliwa kutoka kwa hiyo nafasi ya kutokuwepo (0). hili ndio jibu na hapa kwenye picha kunaonesha tayari kuna dark energy uwazi utupu

Ufafanuzi,
Ni kweli dark energy imechukua asilimia 68% na matter zimekaba asilimia 32% ya ulimwengu hapo tunapata 100% jumla ya ulimwengu wetu mzima kwahiyo hizi chanya na hasi ndio ulimwengu wetu mzima.
Kwahiyo ulimwengu umeendwa na vitu viwili dark energy hii ni nguvu siyo onekana wala kushikika na ni pana kubwa sana ambayo wanasayansi wameipa kiwango cha hasi (-) yani yenyewe inatanuka tu au inasukuma alafu hii dark matter au matter zote imepewa alama hii (+) kwasababu ya tabia yake ya gravity yani kuvuta vitu, mfano sumanku zinatabia ya kuvuta vitu kwa alama chanya na kusukuma kwa alama hasi sijui umenielewa. kwa nyiongeza mfano dunia inatabia ya kushikilia na kuvuta vitu.
Sasa tuendelee tumeshaona kuwa - inatokana na hathari za kuwepo utupu yani 0 sasa je hii chanya inatokea vipi kwanini matter zinavuta vitu
Kwa kweli kuwepo kwa + ndio msingi wa muhimu sana kwasababu unakusanya vitu pamoja na ndio msingi wa mwisho wa kuwepo maisha, mfano kusingekuwa na maisha kama kungekuwa hakuna + inamaana dunia isingeweza kutushikiria sisi wanadamu, inamaana nyota isingeweza kutushikiria sisi na sayari yetu ya dunia n.k
Sasa ni vipi hii gravity inazaliwa ni vipi hii matter ni +
MFANO WA KISASA: GARI NA UPEPO MKALI
Fikiria gari (matter) linaenda kwa kasi sana barabarani. Likikumbana na upepo mkali wa mbele (dark energy), kutakuwa na msuguano. Gari litalazimika kuongeza nguvu ya injini (chanya) ili kuendelea mbele.
Mfano huu unaeleza jinsi matter inavyojibu kwa kuwepo kwa nguvu hasi ya dark energy: kwa kuunda nguvu chanya (gravity) kuleta uthabiti na usawa.
Kwahiyo hii chanya kwa sababu ni matter inashikika na dark energy ni hasi na haishikiki inamaana hii matter inakuwa na gravity pale ambapo inapotokea msuguano baina ya hasi na chanya. kama mfano hapo hilo gari ni matter na huo upepo ni dark energy.
KUHUSISHA NA NADHARIA ZA KISAYANSI
Katika Einstein’s General Relativity, gravity hutazamwa kama mkunjo wa anga-na-wakati (space-time) unaotokea pale matter inapokuwepo. Katika nadharia za Quantum Field, hata utupu una mzunguko wa nishati (vacuum fluctuations) — kitu kisichokuwa kitu kinaweza kuzaa kitu.
Kwa muktadha huu, tunasema: Dark energy ni hali ya utupu iliyo na nguvu hasi. Matter huibuka kutoka humo kama msawazo wa kuleta chanya (gravity)
MFANO WA MWILI NA MAISHANI: 1 → 0 → – → + → Life
→ Mfano wa Seli (Cell)
1. Chanzo (1): Maagizo ya uhai huwekwa kwenye DNA (uwezekano wa kuzaliwa).
2. Utupu (0): Kabla ya yai la mwanamke kurutubishwa, hakuna maisha bado.
3. Hasi (–): Mchakato wa utungwaji na mgawanyiko wa seli unaanza kwa nguvu kubwa ya kimuundo.
4. Chanya (+): Seli huanza kupata sura, fomu, viungo, nguvu.
5. Life: Viumbe hai huanza kuishi, kujieleza, na kuwa sehemu ya mfumo mpana wa maisha.
→ Mfano wa Nyota
1. 1: Mkusanyiko wa gesi "Nebulae" (chanzo)
2. 0: Utupu kabla ya mvuto kuanza kushika kazi
3. –: Kukandamizwa kwa gesi (dark energy resistance)
4. +: Joto, mwanga na mchanganyiko wa nyuklia huzalika
5. Life: Nyota huangaza, kuendesha maisha ya sayari zilizo karibu
MFUMO WA KIUMBILE NA UHAI → (1 → 0 → – → + → Life)
-> 1 = Chanzo kisichoeleweka, roho au hali ya uwezekano/ mungu n.k
-> 0 = Utupu, hakuna kitu bado
-> – = Msukumo hasi, mvutano unaojenga muundo
-> + = Umbo, uwezo, maisha yenyewe
-> Life = Maisha, ukuaji, utendaji, uelewa
HITIMISHO
Ulimwengu wetu umeundwa kwa mgongano wa hali tatu kuu: utupu, nguvu hasi (dark energy), na majibu ya matter (gravity). Kupitia mfumo huu, tunaweza kuona si tu nyota zinavyozaliwa au dunia inavyozunguka jua, bali hata maisha yetu binafsi yanafuata mlinganyo ule ule wa 1 → 0 → – → + → Life.
Maisha, basi, si ajali. Ni uthibitisho wa uwepo wa nguvu chanya inayopinga hali ya kutokuwepo.
Kwa mantiki hiyo, tunaweza kusema wazi kuwa pasipo (1) hakuna (0), na pasipo (0) hakuna hasi (–), na pasipo hasi (–) hakuna chanya (+). Uhusiano huu ni kama mnyororo wa matukio unaojenga msingi wa uwepo wote. Chanzo (1) kinafungua mlango wa uwepo (0), kisha mvutano hasi (–) hutokea kama jibu la hali hiyo ya utupu, na hatimaye chanya (+) hutokea kama mpingamizi au msawazo wa hasi hiyo. Maisha yanachanua juu ya msingi huo.
msingi
1 → 0 → - → + LIFE

- Ikiwa upepo ni hasi, basi gari linajenga nguvu chanya kuupinga.
- Ikiwa upepo ni chanya, basi gari litapunguza nguvu — linakuwa hasi.