Kama Kenya aliwakamata 6 tu,
Nina uhakika bongo atakamata zaidi ya 60,000!!!
My imagination is that akija hapa Bongo, kwa serikali iliyoko madarakani, level ya mawaziri, manaibu ma makatibu, karibia 50 watakua wahanga wake!!
Mawaziri, manaibu, makatibu na Wakurugenzi waliopita (Ngeleja & Maige type), karibia 20 hawatasalimika!!
Wale wa zamani (Mzindakaya, Idd Simba, Grey Mgonja, Mramba type), zaidi ya 50 watalambwa na huyu jamaa kama hua anahusikaga na rushwa! pia.
Tukija kwenye level ya mapolisi wale waliopewa somo na Samson Mwigamba, hata 10,000 wanaweza kusombwa na huyu Ocampo kama akirudia kile kiti akaja bongo.
Haiishii hapo tu, watangazaji wa Radio dizaini ya kina Kibonde, TBC & Radio Uhuru wote hawataachwa hata kidogo.
Tuje kwenye watu wa kawaida, wale karibia wote pale Jangwani kesho Ocampo hatawaacha asilani.