dr slaa je?
Amefanya nini?
Umesahau wengine bwana,mbatia ,mtatiro
Kweli kabisa....lazma kieleweke mwaka huuuKampeni za majukwaani tuwaachie wanasiasa. Ila mpenda "MABADILIKO" kampeni inaanza saa 12 jioni hadi 12 asubuhi. Nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda hadi kieleweke mwaka huu. Elimisha zaidi ya wanachi zaidi ya ishirini (20) umuhimu wa kupiga kura na kuiondoa ccm madarakani.
Lowassa atawaombea kura atapita kila jimbo na kumsimamisha moj moja na kumuombea kura.Halafu kwenye majimbo yao nani atagombea?
Halafu kwenye majimbo yao nani atagombea?
dr slaa je?
Wanajua kuiga watakuja na team yao pia... mnyika, lema, tundu, mwesiga, mbowe na mwalim wahamasishaji... aseee mwaka huu ukawa ni komedia