Pendekezo; Tegeta iwe Makao Makuu ya UBUNGO

bnhai

JF-Expert Member
Jul 12, 2009
2,829
2,387
Kufuatia mpango wa kuanzishwa kwa wilaya mpya ya Ubungu, napendekeza Tegeta iwe makao mapya ya Wilaya hiyo kwa sababu;
1. Barabara ya Morogoro na maeneo yanayoendana yanafoleni ya kutosha hivyo kuipeleka Tegeta inamaana msongamano utakuwa unaenda kinyume (opposite) na hivyo kupunguza athari za traffic.
2. Tegeta inaweza kuinganisha Kibamba kwa barabara za Goba na ile ya Bunju na kufikika kwa Urahisi.
3. Tegeta hapajakuwa saana kama maeneo na bado panaweza kupangika ipasavyo
4. Na kuendelea.......
 
Back
Top Bottom