Differential Equations
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 204
- 200
Kumbe bado Vipo,!?Ndg zangu ni ukweli usio pingika kwamba vyombo tajwa hapo juu vinatumia garama kubwa sana za walipa kodi licha ya kudolola katika utoaji wa huduma zake na kuchokwa na watanzania.
Nawasilisha
HaaAaaaaaaYaani kuna jamaa mmoja ni Senior staff pale lakini nikiangalia uwezo wake huwa nakuwa na mashaka!
cc: Mwalimu Ayoub Rioba (PhD)
Pole sana mkuu, taarifa ya habari ya kwanza hadi mwisho CCM IMESEMA, CCM INAAZIMISHA, CCM IMETEUA, CCM INASHINDA, CCM INALETA MAENDELEO, CCM SIJUI IMEFANYAJE, DUUUUUUUUHHHivyo vituo vimekuwa vichekesho, hadi nasikia aibu kujitambulisha kuwa nafanyia kazi, eti TBC
FISISIEMU HATA WAO WANAPENDA KWENDA KUTOLEA MATAMKO CLOUDS TV AU CLOUDS FMwalaji wapo a.k.a fisiemu hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Yaani kuna jamaa mmoja ni Senior staff pale lakini nikiangalia uwezo wake huwa nakuwa na mashaka!
cc: Mwalimu Ayoub Rioba (PhD)
Nadhani mwalimu ana filosofi nzuri ya kulisimamia shirika lakini huko akikutana na mambo yetu ya gender, regional, age balancing nk nk ni ngumu kuonyesha uwezo wake. Kumbuka hili ni fupa lililomshinda Tido Mhando ...hivi unajua kama ile midahalo ya wagombea aliyoianzishaga Mzee tido ingeliachwa, leo hii TBC ingelikuwa na viewers wengi sababu ya hilo tu!Huyo uliye mcc mimi ndiye nina mashaka naye makubwa sana kuhusu uwezo wake wa kuendesha chombo kama hicho kwa ufanisi!! Licha ya hiyo phd; parmanent head damage yake, ana mapungufu makubwa sana kiutendaji!
Mwalimu hatoshi na pili tbc inaweza kuongoza kwa viewership nk pale tu itakapojivua gamba la kuwa chombo cha ccm na kuamua kushindana kibiashara kwa ubunifu, as long as it remains a ccm mouth piece, wasahau, wacha waendelee kula ruzuku wasukume maisha, broadcasting industry imewashinda .Nadhani mwalimu ana filosofi nzuri ya kulisimamia shirika lakini huko akikutana na mambo yetu ya gender, regional, age balancing nk nk ni ngumu kuonyesha uwezo wake. Kumbuka hili ni fupa lililomshinda Tido Mhando ...hivi unajua kama ile midahalo ya wagombea aliyoianzishaga Mzee tido ingeliachwa, leo hii TBC ingelikuwa na viewers wengi sababu ya hilo tu!