Magufuli na Kabila anzisheni mazungumzo tuungune tuwe nchi moja tufanye kazi kama taifa moja kubwa LENYE nguvu afrika. Hii itasaidia kuongeza ajira kwa Watanzania na wakongo kibiashara na kuimarisha usalama kikanda.
Ukiiangalia sana Tanzania na Kongo tuna utamaduni unaofanana na watu wetu wanaumoja.
Mheshimiwa raisi tuliangalie hili Katika kipindi chako cha utawala kuenzi fikra za NYERERE.