Pendekezo: Rais Samia mteue Bernard Membe kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa

nsharighe

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
1,439
2,211
Mh Rais, Mama Yetu mpendwa, Mama mnyenyekevu na msikivu Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Bila kuchelewa, Ni maombi yangu kwako Kama Mtanzania, Naomba Umteue Bernard Camilus Membe Kuwa Director General wa Idara ya Usalama Wa Taifa ili atusaidie kurejesha nidhamu na kuunda upya idara hii nyeti nchini.

Mama, Mh Rais.

Bernard Camilus Membe Ni mtumishi mkongwe wa Idara na Ana uzoefu wahali ya juu na nidhamu yake Ni ya kutukuka.

Nawasilisha.
Mungu akujaalie Afya na Siha Njema.
 
Hii nchi haina viongozi wapya? kila siku sura zile zile!!!!!
 
Nakadilia hadi miaka 50 ijayo hakutakuwa na watoto wa kiume strong. Sasa hivi kuna specie ya watoto wa kiume napata wakati mgumu sana kuielewa yaani wanapenda kuongea vitu na mambo kwa spirit ya kike sana.

Sasa kama huyu mleta uzi anaonekana kabisa hana traits za kiume kutokana na namna kaandika hii kitu yake.
 
Mh Rais, Mama Yetu mpendwa, Mama mnyenyekevu na msikivu Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Bila kuchelewa, Ni maombi yangu kwako Kama Mtanzania, Naomba Umteue Bernard Camilus Membe Kuwa Director General wa Idara ya Usalama Wa Taifa ili atusaidie kurejesha nidhamu na kuunda upya idara hii nyeti nchini.

Mama, Mh Rais.

Bernard Camilus Membe Ni mtumishi mkongwe wa Idara na Ana uzoefu wahali ya juu na nidhamu yake Ni ya kutukuka.

Nawasilisha.
Mungu akujaalie Afya na Siha Njema.
Huyo membe ana umri gan kwa sasa? Je anazo sifa za utumishi wa Umma
 
Nakadilia hadi miaka 50 ijayo hakutakuwa na watoto wa kiume strong. Sasa hivi kuna specie ya watoto wa kiume napata wakati mgumu sana kuielewa yaani wanapenda kuongea vitu na mambo kwa spirit ya kike sana.

Sasa kama huyu mleta uzi anaonekana kabisa hana traits za kiume kutokana na namna kaandika hii kitu yake.
Halafu ww unayejiita wa kiume ukachangia uzi wake,

maajabu hayataisha
 
Japo majasusi wana msemo wao "Once a spy always spy" lakini kwenye hili hapana mkuu! Membe kwasasa ni mwanasiasa zaidi, kumpeleka Idarani ni sawa kuichimbia nchi kaburi!

Lakini pia usisahau kama ana ndoto za Urais hivyo basi Samia hata iweje hawezi mpeleka Idarani.

Mimi nashauri, wale wataalam akina L.V na M.M ambao waliwekwa kando enzi za mwendazake warudishwe na kupewa idara.
 
Mh Rais, Mama Yetu mpendwa, Mama mnyenyekevu na msikivu Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Bila kuchelewa, Ni maombi yangu kwako Kama Mtanzania, Naomba Umteue Bernard Camilus Membe Kuwa Director General wa Idara ya Usalama Wa Taifa ili atusaidie kurejesha nidhamu na kuunda upya idara hii nyeti nchini.

Mama, Mh Rais.

Bernard Camilus Membe Ni mtumishi mkongwe wa Idara na Ana uzoefu wahali ya juu na nidhamu yake Ni ya kutukuka.

Nawasilisha.
Mungu akujaalie Afya na Siha Njema.
Saa hizi bendera zingekuwa nusu mlingoti
 
Back
Top Bottom