Makyomwango
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 322
- 80
Heshima kwenu wapendamabadiliko nje ya CCM
Katika kipindi hiki chakuelekea kampeni za uchaguzi mkuu inapendekezwa kuwe na slogan moja ya kuutambulisha UKAWA. Sasa hivi Chadema wanatumia peaples power, NLD - MotoMoto, CUF - Haki sawa kwa wote. Vile vile kuwe na nyimbo za uhamasishaji kwa jina la ukawa zenye kusismua
Ni vyema mambo haya yakafanyika mapema hususn kabla ya Kampeni kuanza
Nawasilisha