mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,331
- 4,857
Viongozi wengi wa africa mnakula rushwa na kujilimbizia mali na mataifa yenu hayapigi hatua, kutokana mnaingia madalakani huku mkiwa maskini, matokeo yake mnaacha kuendeleza nchi zenu na kuwapa wananchi unafuu, mnajikuta mnakuwa mafisadi mnajilimbikizia mali, yote haya ni umaskini wa huko mlikotoka.
mnafika hatua mnarithi shana hadi vyeo ilimladi mtafuno uwe endelevu, ila mimi naamini uongozi akichukua mtu kama bakhresa hatokuwa na ulimbukeni huo kutokana hata ona jipya, ila nyie wenzangu mliotokea kwenye umaskini mna ulimbukeni, sana wa madaraka na mali, ndio maana mnawaza miradi ya upigaji na madili dili ili mjilimbikizie mali,
Kwahiyo sasa ifike kigezo cha kugombea kiwe ni utajiri au umiliki wa uchumi binafsi, degree na stashahada za udokta zibaki kama kuendesha baiskeli ni lazima tu ujue ili tuwe na taifa lenye maono.
Sio kiongozi huna hata practical yoyote upo upo tu umetoka tu shule umejikomba, ukapata uteuguzi tayari diwani, tayari mbunge tayari waziri unazani utakuwa na mchango gani?