Habari,
nimepita na kuona machine ndogo za kuchakata maji ya kunywa kwa uwezo 500L kwa saa zinauzwa hapa Tanzania, nimeona ni fursa kwangu kwakuwa nina source ya maji nyumbani na eneo naloweza funga mashine hivyo kubakiwa na kazi ya kutafuta chanzo cha fedha kufanikisha, hivyo nimeona niliweka hapa wazi kupata ushauri wowote kuhusu biashara hii. Na attach mfano wa project na mfano wa pendekezo la kutafutia mtaji nililosaidiwa kuandikiwa na open AI.