Fl1 ni hivi,unapo-sign in msn messenger au yahoo messenger inakuonyesha members ambao wako online na offline,nadhani unakuwa na list ndefu ya wale ambao umewa-add kwenye contact yako,sasa hapo nilikua naona hivi watengeneze ku-button ambako katakua na list ya members wote,na unapofungua hapo sasa unajua kuwa msindima,FL1,MJ1,Chrispin,Fidel wako online nadhani kwa hapo utakuwa umenipata.