Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,277
- 2,933
Nashauri kwa dhati kabisa toka kwenye uvungu wa moyo wangu.pasipo kuwa na mawaa au madoa katika ubongo wangu.nikiwa na akili timamu kabisa. ITV iwe ndo TV ya Taifa.
Kiukweli hii TV ambayo kwa kiasi kikubwa sana imekuwa ikijitahidi kuwarushia matangazo wa Tanzania kwa wakati muafaka. Tumeona mara nyingi kunapotokea majanga au habari ambzo taifa linatakiwa kuzipata kwa wakati huo TBC wamekuwa wakituwekea muziki au kuendelea na matangazo mengine kama kawaida.
TBC imekuwa ni TV ya serikali.
Imekua ikijikita zaidi kwenye kurusha matangazo ya dhifa na mikutano ya kiserikali zaidi kuliko habari nyingne ambazo nazo ni muhimu kwa wananchi.