johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,028
- 142,081
Automatically itakuwa hivyo hivyo!Vp kwa mkuu wa mkoa????Endapo wataondolewa hayo majukumu,basi watakosa ile masaa 24/48 ya kuwatia ndani wanaowaudhi!
Tatizo ni ccm.Ukiangalia majukumu yao ya jumla ya utendaji wao wa kila siku binafsi naona Afisa Usalama wa Wilaya anafit zaidi kuwa Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya Wilaya ukilinganisha na Mkuu wa Wilaya kama ilivyo sasa. Mkuu wa Wilaya yuko kisiasa zaidi na mambo ya usalama yamejikita zaidi kwenye weledi na NIDHAMU. Hayo ni maoni yangu, je wewe unasemaje?..........Karibu!
CCM imefanya nini?!Tatizo ni ccm.
Uwezo wanao!Unaotaka wapewe hayo majukumu wanao huo uwezo??? labda kama mabadiliko hayo yaende sambamba na kubadili mfumo wa upatikanaji wa hao watu si kama ulivyo sasa.
Je, ni lini Tanzania/Tanganyika /Kipande cha Ardhi kilichopo kusini mwa Afrika mashariki haikuwa na amani?Tanzania imekuwa ya amani chini ya mfumo huo kwa miaka mingi
Tanzania kuna utulivu tu hakuna amani.Tanzania imekuwa ya amani chini ya mfumo huo kwa miaka mingi
Hivyo vyeo vinapaswa kufutwa kabisa havina tija.CCM imefanya nini?!
Nimemsikiliza kwa makini Sirro nikamwelewa!Tanzania imekuwa ya amani chini ya mfumo huo kwa miaka mingi
Nchi itakua ya kiraia au ya kijeshi?Hivyo vyeo vinapaswa kufutwa kabisa havina tija.
Kuna meya, mkurugenzi na Das wanatosha hawa wilayani.
Kamati za ulinzi na usalama ziongozwe na JWTZ na DSO awe katibu.
Kwani mambo ya usalama siyo ya kijeshi?!Nchi itakua ya kiraia au ya kijeshi?
Ulinzi na usalama ni kazi ya watu gani?Nchi itakua ya kiraia au ya kijeshi?