Mlisema sisi ndio tunadanga hayaKwa hiyo unadanga?
Mi nimeelewa.Umeandika nini mbona haueleweki dogo?
Kwa hiyo unadanga?
Umeandika nini mbona haueleweki dogo?
Bange mbaya sana
namhurumia sana magufuli..hawa ndio vijana wake na haya ndio mawazo yao.
Nimegundua wanaume ni wachache sana awamu hii
Umejaa anasa na upupu/upuuzi.Kichwa cha Uzi kina maana kidogo ila mwili wa uzi umejaa anasa
Mlisema sisi ndio tunadanga haya
teheee teheee wadanganyi tupo wengi...ila hatusemi kiboya namna hii...sasa wanaume wanatafuta wadada watafutaji na wadada wanatafuta wanaume watafutaji..na hao wengine watapata wapi wenza???
Itajulikana Mbele Kwa Mbele !! Kazi hipo kizazi hiki duuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]teheee teheee wadanganyi tupo wengi...ila hatusemi kiboya namna hii...sasa wanaume wanatafuta wadada watafutaji na wadada wanatafuta wanaume watafutaji..na hao wengine watapata wapi wenza???
Kuwa Hali inavyokwenda wanakuja wavulana sio wanaume kwa mamjo wanayofikiriaUna maanisha wanazaliwa wachache au wanakufa, au wanajibadilisha jinsi?