Penda mwanamke anayejua maisha

Penda mwanamke anayejua maisha

Changes boy

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
552
Reaction score
363
Kuna Dada mmoja aliwai kuniambia usiangaike na wanawake ambayo hawajui Nini kesho yao. Na alikua ananitaka alikua anataka mpaka kunionga ila alikua anataka nimpe shoo ya maana na nijue kutafuta Pesa kumbe alikua anapesa ila alitaka nizisimamie nikampotezea alikua anatoka na watu wazito alikua ameacha hiyo Tabia nahisi ndio iliyoniogopesha na nilikua na manzi tayari. Kumbe nilikua nachezea shilling kwenye tundu.uruma yangu kwa hawa viumbe kumbe ni shida kwangu. Naacha ulokole sasa hivi naona nikupiga shoo kwa manzi yoyote anayejipendekeza kumbe kuwa na demi mmoja anajiona ni bora nifuraishe rungu langu kumbe nalizibia ridhiki. Sitaki demu tena ni mwendo wa kutoka Huduma kwa anayeitaji
 
Umeandika nini mbona haueleweki dogo?

namhurumia sana magufuli..hawa ndio vijana wake na haya ndio mawazo yao.
 
Hili jina sio geni lakini content ya uzi huu inanitia mashaka sana
 
Kuna Dada mmoja aliwai kuniambia usiangaike na wanawake ambayo hawajui Nini kesho yao. Na alikua ananitaka alikua anataka mpaka kunionga ila alikua anataka nimpe shoo ya maana na nijue kutafuta Pesa kumbe alikua anapesa ila alitaka nizisimamie nikampotezea alikua anatoka na watu wazito alikua ameacha hiyo Tabia nahisi ndio iliyoniogopesha na nilikua na manzi tayari. Kumbe nilikua nachezea shilling kwenye tundu.uruma yangu kwa hawa viumbe kumbe ni shida kwangu. Naacha ulokole sasa hivi naona nikupiga shoo kwa manzi yoyote anayejipendekeza kumbe kuwa na demi mmoja anajiona ni bora nifuraishe rungu langu kumbe nalizibia ridhiki. Sitaki demu tena ni mwendo wa kutoka Huduma kwa anayeitaji
Mkuu kondom zimepanda bei vp uta tembea kavu kavu kwenye changarawe
 
Back
Top Bottom