Penati ya mwisho kwenye maisha

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
5,139
Reaction score
12,915
Huyu ni Cristian Ronaldo anakipaji ana ujuzi na uzoefu wa kupiga penalty. Ila linapokuja suala la kupiga penalty ya mwisho itakayo amua ushindi wa timu yake ya Taifa huonekana kujawa na hofu plus wasi wasi

Huirudisha hali ya utulivu wa mwili na akili kabla hajaupiga mpira kwa kufanya hivi


Kuvuta pumzi

Huu uzi ni wa kukutia moyo na kukupa mbinu unapokuwa ktk hali ya presha mfano kwenye interview au popote pale ukajikuta unapoteza kujiamini ghafla moyo unadundq kuliko kawaida kijasho chembamba kinakutoka na unatakiwa kufanya maamuzi ya haraka


Vuta pumzi

Kuna siri kubwa ktk kuvuta pumzi, utanishukuru baadae

Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…